Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Asante mkuu. Nitalifanyia kazi.Kama una hela kanunue mkamba Kuna sehem inaitwa mtembela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu. Nitalifanyia kazi.Kama una hela kanunue mkamba Kuna sehem inaitwa mtembela
Binafsi tangu kuanza kwangu kutafuta maisha sijawahi kutana na fursa ya namna hii na.laiti ingenikuta kitu ya namna hii miaka hiyo Nawahakikishia Leo nisingekua na uchumi nilio nao sasa. Lakini kuna mtu haoni hili.Mwaka jana nilikuwa jobless. Ingekuwa ni sasa ningekuja maana me mwnywe mtu pori na maisha ya upweke kama hayo me nayapenda balaa
Ila Mkuranga toka niuze kiwanja changu cha Vikindu sipatamani kabisa.Kama una hela kanunue mkamba Kuna sehem inaitwa mtembela
Bosi yupi huyo? alienunua shamba akaenda jenga huko nyumba aje achukue mazao yako?Mashamba huko yanauzwa laki 2 hadi 4 kwa hekari moja.
Hili suala la kusema kijana anaweza kupanda na kufuga: hapa akianza kufanikiwa boss ataanza kutamani na kumletea figisu asilime ama kufuga.
Au atamruhusu vizuri ila atakuwa anachukua mazao shambani hadi kero.
Mkamba Kuna mashamba mkubwa sana. Na ni virgin land! Heka inarange million kwa mazingira yaliyokaribu na barabra kuu. Mtembela Kuna eneo la bawe(shamba la mpunga). Fatilia mkuu kma kweli unataka kufanya kilimo cha helaAsante mkuu. Nitalifanyia kazi.
Mkuranga kama wilaya, usinunua kiwanja.. Yani eneo linalochangamka (suburban) utakaa na majirani wanga, wakutupie majini uchabganyikiwe. Kanunua shamba ulime mkuu.Ila Mkuranga toka niuze kiwanja changu cha Vikindu sipatamani kabisa.
Kibaha, Kisarawe, Chalinze na Bagamoyo ndizo Halmashauri ninazikubali
Nilidhani ni Kisarawe. Sipakubali MkurangaMkamba Kuna mashamba mkubwa sana. Na ni virgin land! Heka inarange million kwa mazingira yaliyokaribu na barabra kuu. Mtembela Kuna eneo la bawe(shamba la mpunga). Fatilia mkuu kma kweli unataka kufanya kilimo cha hela
Sana mkuu. Mwaka jana kule tweeter kuna mtu alikuwa anatafuta mtu wa shamba laki na nusu kwa mwezi. Niliikosa kisa nilichelewaBinafsi tangu kuanza kwangu kutafuta maisha sijawahi kutana na fursa ya namna hii na.laiti ingenikuta kitu ya namna hii miaka hiyo Nawahakikishia Leo nisingekua na uchumi nilio nao sasa. Lakini kuna mtu haoni hili.
AsanteMkuranga kama wilaya, usinunua kiwanja.. Yani eneo linalochangamka (suburban) utakaa na majirani wanga, wakutupie majini uchabganyikiwe. Kanunua shamba ulime mkuu.
Viwanja mda huu kigamboni ni kumetulia... Nimetoka kulipiga juzi tu hapo milioni 2.5 mwasonga. Kuzuri tu na Bado vipo
Usinichukulie poa,naweza mkuuwewe ukakae shamba? ntarudi nkukute na majirani kama wote maana Penye Malkia Pana asali
😃Naaamnimeona tu kwa namna umeorodhesha nikajua hapa nipo na mwenyeji
Nina kijana wa kisafwa hapa toka mbeya....amekosa ajira ya ualimu je anaweza kukufaa?wewe ukakae shamba? ntarudi nkukute na majirani kama wote maana Penye Malkia Pana asali
Twende nikakuache kama hujanipigia simu nije...Usinichukulie poa,naweza mkuu
We nipo serious mwenzio,kwahiyo nipanda gari lini? Na lini nianze kufyekafyeka....ila solar ya kuchajia simu lazimaTwende nikakuache kama hujanipigia simu nije...
Wengi wanafikiri ni shamba basi poriniiii
Huyu ni jirani yangu ambae anaishi pembeni yangu,Anatumia Solar ila maisha yake very kutamanisharing
View attachment 2813714
Huyo Jirani hapo ana heka 20 hana habari na mtu najua ntakua nakukuta unashinda kulee kwenda kuangalia TV kwa watu😂😂
Hamnaa Kuna real estate flani hivi Inaitwa canan land.Ulienda kununua kwa yule Dalali Msomi? Nasikia bahari unaona kabisa ileee...
Tatizo barabara ya kutoka pale Kibada kwenda Mwasonga mbovu kinoma. Nilienda nikaishia njiani na Passo yangu.
Mimi sasa ndio nipo serious zaidi yako hadi nimefungua UZI unahisi nani kamzdi mwenzake u serious?We nipo serious mwenzio,kwahiyo nipanda gari lini? Na lini nianze kufyekafyeka....ila solar ya kuchajia simu lazima