Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tomondo magereza, mshelishelini, changu, n.kniko Tomondo Zenji
na Boflo yangu hapa safi kabisa
Uongo wa standard gauge. YouTube content creators will tell you anything ili mradi wavutie trafficUkistaajabu ya Musa utayaona ya Firaoni. Kijana wa miaka 15 amekaa akifanya tahajudi kwa zaidi ya miezi kumi bila kula wala kunywa chochote.
Kijana huyo ameendelea kuwa hai licha ya kutokula chochote kwa muda wote huo, na ameonekana mara kadhaa akitokwa na jasho jingi.
Maneno mbofumbofu - Mr AbelUkistaajabu ya Musa utayaona ya Firaoni. Kijana wa miaka 15 amekaa akifanya tahajudi kwa zaidi ya miezi kumi bila kula wala kunywa chochote.
Kijana huyo ameendelea kuwa hai licha ya kutokula chochote kwa muda wote huo, na ameonekana mara kadhaa akitokwa na jasho jingi.
mshelishelini mzee, 520Tomondo magereza, mshelishelini, changu, n.k
Mbona mnasoma Biblia na Quran vitabu vya zamani sana?Mkuu Bujibuji Simba Nyamaume wewe ni wa kutuletea contents za miaka 8 iliyopita kweli?
Video yenyewe tuu ukiingalia unajua kabisa huo ni udaku wa wafilipino au waindonesia..
View attachment 2495818
Anapiga kimoyomoyoHata nyeto hapigi?
Jifunze meditation 🧘♂️ utapata tu cha ku commentSijui kwanini Nakosa Cha kukomenti hapa,
Alisha maliza meditation akapata enlightenmentKwa hiyo kwa muda wote huo yupo hapo hapo anafanya meditation?