Kijana wa miaka 15 aishi miezi 10 bila kula wala kunywa chochote

images.jpeg
 
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firaoni. Kijana wa miaka 15 amekaa akifanya tahajudi kwa zaidi ya miezi kumi bila kula wala kunywa chochote.

Kijana huyo ameendelea kuwa hai licha ya kutokula chochote kwa muda wote huo, na ameonekana mara kadhaa akitokwa na jasho jingi.

Uongo wa standard gauge. YouTube content creators will tell you anything ili mradi wavutie traffic
 
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firaoni. Kijana wa miaka 15 amekaa akifanya tahajudi kwa zaidi ya miezi kumi bila kula wala kunywa chochote.

Kijana huyo ameendelea kuwa hai licha ya kutokula chochote kwa muda wote huo, na ameonekana mara kadhaa akitokwa na jasho jingi.

Maneno mbofumbofu - Mr Abel
 
Back
Top Bottom