Silent Echo
Member
- May 28, 2026
- 26
- 69
Ila hapo wakina and 998 others wangesikia amewekwa ndani na mwanaume mwenye miaka 55 huyo kijana wa miaka 25 angekua topic nyingine ingefika mpaka ---, hapo kijana anapewa sifa ya urijali kidume cha mbegu anaemkamua maziwa ng'ombe aliezeekaHuyu ni kijana anaomba ushauri jamani, me meshndwa nimshauri nini kwa kweli
Kaka, huwezi kucheza na nguruwe halafu usitegemee kuchafuka! matope ni sehemu ya furaha yake. Nikimaanisha, kwa utofauti wa umri kati yako na mwenzako ulipaswa kutegemea hilo na kujiandaa kukabiliana nalo.“Mimi ni mvulana wa miaka 25, nina mapenzi na mwanamke wa miaka 55. Tunakaa pamoja na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 36 na mvulana huyu haniheshimu kama baba yake wa kambo. Najaribu kumuelimisha kuhusu maisha lakini hasikii. Tafadhali nisaidie,nifanye nini?”
Huyu ni kijana anaomba ushauri jamani, me meshndwa nimshauri nini kwa kweli
Hakika ni za Kwetu.“Mimi ni mvulana wa miaka 25, nina mapenzi na mwanamke wa miaka 55. Tunakaa pamoja na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 36 na mvulana huyu haniheshimu kama baba yake wa kambo. Najaribu kumuelimisha kuhusu maisha lakini hasikii. Tafadhali nisaidie,nifanye nini?”
Huyu ni kijana anaomba ushauri jamani, me meshndwa nimshauri nini kwa kweli
Sinema Zetu.Hakika ni za Kwetu.
Swadwakta.Sinema Zetu.
kwa kwl😂hiki ni kituko
ni hatariIla hapo wakina and 998 others wangesikia amewekwa ndani na mwanaume mwenye miaka 55 huyo kijana wa miaka 25 angekua topic nyingine ingefika mpaka ---, hapo kijana anapewa sifa ya urijali kidume cha mbegu anaemkamua maziwa ng'ombe aliezeeka
Sikia hapo hakuna cha kumshauri chochote yeye afanye anavyoona yeye mwenyewe inafaa halafu mwambie ushauri siku hizi ushakua wa gharama sana na tumepandisha bei hatukushauri bure tena kwa case km yake inabidi alipie kabla ya kumpa ushauri yaan hapo yeye mwenye haoni km huyu 36 minus 25 is equal to 11 huoni km yeye hapo ndio anatakiwa amuite huyo Chalii Baba?
Nchi ngumu sana hii kuzidi mkate kwenye chai“Mimi ni mvulana wa miaka 25, nina mapenzi na mwanamke wa miaka 55. Tunakaa pamoja na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 36 na mvulana huyu haniheshimu kama baba yake wa kambo. Najaribu kumuelimisha kuhusu maisha lakini hasikii. Tafadhali nisaidie,nifanye nini?”
Huyu ni kijana anaomba ushauri jamani, me meshndwa nimshauri nini kwa kweli