Kijana wa Miaka 25 Kuwa Baba wa Kambo wa Mtu wa Miaka 36, Inawezekana Kweli?

Kijana wa Miaka 25 Kuwa Baba wa Kambo wa Mtu wa Miaka 36, Inawezekana Kweli?

Katika upuuzi siwezi kufanya ni kuwa na mahusiano na kijana niliyemzidi miaka, mi Huwa nadili na wanaume walionizidi miaka 10 na kuendelea Hawa Huwa hawahaingiki na vitamin vyetu
asa si unakuta umezama mwnyw😂
 
Kaka, huwezi kucheza na nguruwe halafu usitegemee kuchafuka! matope ni sehemu ya furaha yake. Nikimaanisha, kwa utofauti wa umri kati yako na mwenzako ulipaswa kutegemea hilo na kujiandaa kukabiliana nalo.
really
 
Inawezakana kabsa ila kijana wa miaka 25 kumshauri kijana wa miaka36 wakat huo unamlala
Mama yake izo ni dharau

Ushauri ww tekeleza majukumu yako km kiongozi wa familia, na usitake kumliplace baba yake
Amini
 
Huko ni kuvamia majukumu , ndio maana leo unaona kijana mdogo ana kipara , huku mwingine ndevu zina mvi kabisa ila ukiuliza ana miaka 28 .Mambo hayo ya kvamia majukumu , si unaona wanawake leo wamevamia majukumu ya kujifanya watfautaji kama wanaume mpaka ni jambo la kawaida kuona wanawake wana ndevu .​
😂😂😂😂
 
"Mvulana huyu" mkuu confidence Yako Iko juu zaid yangu ingawa napenda mishangazi lkn siwezi kukubaki kuishi na yeye... Nitalala na kuondoka mm ninae wa 40s na anawatot lkn siwezi kwenda direct kwake wakiwep
 
“Mimi ni mvulana wa miaka 25, nina mapenzi na mwanamke wa miaka 55. Tunakaa pamoja na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 36 na mvulana huyu haniheshimu kama baba yake wa kambo. Najaribu kumuelimisha kuhusu maisha lakini hasikii. Tafadhali nisaidie,nifanye nini?”

Huyu ni kijana anaomba ushauri jamani, me meshndwa nimshauri nini kwa kweli
Ndio inawezekana.
 
Kwanini huu uzi ulipost jana? Kwanini isiwe leo
 
Back
Top Bottom