Kijana wa Miaka 25 Kuwa Baba wa Kambo wa Mtu wa Miaka 36, Inawezekana Kweli?

Katika upuuzi siwezi kufanya ni kuwa na mahusiano na kijana niliyemzidi miaka, mi Huwa nadili na wanaume walionizidi miaka 10 na kuendelea Hawa Huwa hawahaingiki na vitamin vyetu
asa si unakuta umezama mwnyw😂
 
Kaka, huwezi kucheza na nguruwe halafu usitegemee kuchafuka! matope ni sehemu ya furaha yake. Nikimaanisha, kwa utofauti wa umri kati yako na mwenzako ulipaswa kutegemea hilo na kujiandaa kukabiliana nalo.
really
 
Inawezakana kabsa ila kijana wa miaka 25 kumshauri kijana wa miaka36 wakat huo unamlala
Mama yake izo ni dharau

Ushauri ww tekeleza majukumu yako km kiongozi wa familia, na usitake kumliplace baba yake
Amini
 
😂😂😂😂
 
"Mvulana huyu" mkuu confidence Yako Iko juu zaid yangu ingawa napenda mishangazi lkn siwezi kukubaki kuishi na yeye... Nitalala na kuondoka mm ninae wa 40s na anawatot lkn siwezi kwenda direct kwake wakiwep
 
Ndio inawezekana.
 
Kwanini huu uzi ulipost jana? Kwanini isiwe leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…