Kijana wa miaka 28 anywa sumu baada ya kuambiwa mtoto aliyekuwa akimlea si wake

Saa zingine mkiskia mwanaume kakataa kuhudumia mtoto muwe mnaelewa...ni kuepuka na mambo kama hayo
Mimi naona muwe mnavaa condom kuepusha kusingiziwa mimba na kuwapa mimba watu ambao hamjakubaliana.
 
Rip Justine
 
Amekunywa sumu au amenyweshwa sumu?
 
Duuuhhh . Kwanini hawakumwambia mapema kwamba mtoto sio wake tangu akiwa tumboni?
Seems baba wa mtoto aliamua kumpotezea binti maybe:
1. Binti alikuwa na mambo mengi, so mshikaj mwenye pesa pesa, akashtuka akamtema binti.

Binti,akamjuza anamimba yake, jamaa akaamua kuvunga. Sina uhakika hyo mimba ni yangu. Binti akaamua kumpa majukum mtu mwingine.

Baadae labda, binti amejifungua ,jamaa mwenye pesa akaonyeshw picha au watu wa kwao waliendelea na mawasiliano na binti, jamaa akarudisha moyo kwa maslahi mapana. Jamaa akabonga na mama wa binti,wakapewa pesa warudishe matumizi ya kaka wa watu, Marehemu😁.

2. Demu kaona Marehemu hana future njema, since aliwahi kula uroda na mjamaa mwenye pesa, binti akagusia uliniachia ujauzito. Jamaa amekubali, so binti kaamua kubadili ubaba wa mtoto.

3. Binti na mama yao wanajua game wanayocheza, maybe kuna dingi huko hazalishi aliona binti ana struggle, akayajenga na mama wa mtoto. Mama akaamua kushika usukani atumie mbinu kumtoa msela ktk game.

MAONI YANGU:
Serikali iwashughulikie watu wa namn hii, unamjua baba wa mtoto lakin unaenda kumpa zigo mwingine kwa sababu zako binafsi. Iwe umebanwa kimalez au huna uchumi, haikubariki kwenda kumuingiza mtu ktk mfumo mpya wa maisha.

Huu mchezo pia huwapeleka watu jela wasio husika....
 
Kama angeishia watoto 5; Je, wewe ungekuwepo?
😅Ningezaliwa na baba mwingine Sasa picha linaanza watoto tupo 12 lakini ushirikiano ni zero sometimes mpaka mzee analalamika kwamba wote mmeondoka nyumbani anakwosa kampani
 
😅Ningezaliwa na baba mwingine Sasa picha linaanza watoto tupo 12 lakini ushirikiano ni zero sometimes mpaka mzee analalamika kwamba wote mmeondoka nyumbani anakwosa kampani
Huzai watoto ili wakutunze, bali zaa uijaze dunia
 
Ndoa za utotoni hizi, yeye mwenyewe ana uhakika gani kwamba baba aliyemlea ni baba yake halisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…