Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Nipo Kindeena.Kumbe upo
Ulijua nimeshakufa nini😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Kindeena.Kumbe upo
Mimi naona muwe mnavaa condom kuepusha kusingiziwa mimba na kuwapa mimba watu ambao hamjakubaliana.Saa zingine mkiskia mwanaume kakataa kuhudumia mtoto muwe mnaelewa...ni kuepuka na mambo kama hayo
Yesu hanaga wafuasi matutusa kama hilo! Hilo litakuwa lifuasi la Mwamposa!Kamkomoa YESU, amekosa mfuasi wa mbinguni
Na dakika zenyewe ni za lala salama😂Kataaa ndoa 5
Kubali ndoa 0
Kama angeishia watoto 5; Je, wewe ungekuwepo?Leo umepuyanga baabu worst advice I can say, mimi ni mtoto wa 9 kwenye familia ya watoto 12
Rip JustineJUSTINE AMEFARIKI BAADA KUAMBIWA MTOTO SI WAKE
Mwili wa kijana Justine Mbaga mwenye umri wa miaka 28 ambaye amefariki dunia jana Februari 11,2025 ikidaiwa ni kwa kunywa sumu baada ya kupewa taarifa kuwa mtoto aliyekuwa anamhudumia si wake, umezikwa leo katika makaburi ya Magegele yaliyopo Halmashauri ya mji Makambako.
Taarifa zinaeleza kuwa siku ya jumapili Februari 9,2025 familia ya binti ya aliyekuwa naye kwenye mahusiano walimwita Justine Mbaga, na familia yake na kumweleza kuwa mtoto ambaye alikuwa anamlea si wake, jambo ambalo lilipelekea kuathirika kisaikolojia na kuchukua uamuzi huo.
Baadhi ya majirani wa Justine Mbaga wamesema kifo cha mpendwa wao kimewaacha na majozi mazito kwani alikuwa ni kijana mwenye maadili mema.
Ratifa kibiki ni, mama mzazi wa binti mwenye mtoto huyo anayedhaniwa ni mtoto wa Justine Mbaga akizungumza na El olama fm amesema waliamua kumuita Justine Mbaga na Familia yake na kuwaeleza kuwa mtoto huyo si wao kwani aliona si busara Justine aendelee kulea mtoto ambaye si wake.
Aidha Mama huyo amesema binti yake alikuwa tayari kurejesha gharama za matunzo ambazo Justine Mbaga alizitumia kumlea mtoto huyo ambazo ni 850,000/=.
Diwani wa kata ya kitisi Nevy Sanga na mtendaji wa mtaa wa Kisingire,wameiasa jamii iache tabia ya kuchukua sheria mkononi hasa inapojitokeza changamoto yoyote kwenye maisha.
🎥
✍️
View attachment 3234433
Amekunywa sumu au amenyweshwa sumu?JUSTINE AMEFARIKI BAADA KUAMBIWA MTOTO SI WAKE

Hao wanyaru wameanza lini utapeliRatifa kibiki ni, mama mzazi wa binti mwenye mtoto huyo
Hatari sanaHao wanyaru wameanza lini utapeli
Umeelewa nini?Amekunywa sumu au amenyweshwa sumu?
Seems baba wa mtoto aliamua kumpotezea binti maybe:Duuuhhh . Kwanini hawakumwambia mapema kwamba mtoto sio wake tangu akiwa tumboni?
😅Ningezaliwa na baba mwingine Sasa picha linaanza watoto tupo 12 lakini ushirikiano ni zero sometimes mpaka mzee analalamika kwamba wote mmeondoka nyumbani anakwosa kampaniKama angeishia watoto 5; Je, wewe ungekuwepo?
Huzai watoto ili wakutunze, bali zaa uijaze dunia😅Ningezaliwa na baba mwingine Sasa picha linaanza watoto tupo 12 lakini ushirikiano ni zero sometimes mpaka mzee analalamika kwamba wote mmeondoka nyumbani anakwosa kampani
Toka Kariakoo iporomoke sijakusikia☺️Nipo Kindeena.
Ulijua nimeshakufa nini😂
Asante kwa kujali jamani. Ila nipo .Toka Kariakoo iporomoke sijakusikia☺️
Ndoa za utotoni hizi, yeye mwenyewe ana uhakika gani kwamba baba aliyemlea ni baba yake halisi?JUSTINE AMEFARIKI BAADA KUAMBIWA MTOTO SI WAKE