Kijana wa miaka 28 anywa sumu baada ya kuambiwa mtoto aliyekuwa akimlea si wake

Siku hizi matukio ya ajabu ajabu yamehamia Iringa na Njombe kutoka Geita

Chaliifrancisco

Nyau de adriz
 
Mungu atusaidie sana wanaume
Mwanaume kuwekeza NGUVU na AKILI kwa mwanamke lazima matatizo yakupate, mwanaume hutakiwi kuwa na high expectations kutoka kwa mwanamke kwasababu ataishia kupata depression.
AKILI YAKO INATAKIWA KUTAWALA HISIA ZAKO KWA KIWANGO KIKUBWA.
 
Kirahisi rahisi tu huyo bi mkubwa anasema kuwa.mwanae alikuwa tayari kurejesha gharama zilizotumika.. kumbe kuna mimaza ya hivyo hivi.
 
 
Mpumbafu sana wache afe kwa ujinga wake weenzie tukiambiwa huyu si wako hatupaniki hata kidg tunatulia hata kama ulikua unatoa huduma unazaa na mdg wake mwingine mtoto alafu unamwachia mwanae
 
 
Huyu atakuwa hajawahi kuhudhuria vikao vyetu hata kimoja! Sasa hapo kamkomoa nani?
 
Mtu anapofikia hatua ya kujiua it means huyo mtu kisaikolojia alikuwa ameathirika, ndio maana mara zote tunashauriwa ukiwa na jambo gumu linalokuumiza sana tafta mtu sahihi wa kumweleza kuliko kukaa nalo na kuumia ndani Kwa ndani, lakini pia tunapaswa kujua kuwa Kila jambo linatokea kwa sababu ,Kuna maisha mengine baada ya Leo. naumia sana kuona wanaojiua ni vijana it means vijana tumekosa positive mind, Tujifunze kujicontrol Tusiruhusu kutawaliwa na hisia na mihemko zaidi katika utatuzi wa jambo haijalishi umekutana na jambo gumu kiasi Gani. Siku zote hisia zikiwa juu uwezo wa ubongo kufikiri na kufanya maamuzi sahihi hushuka. Hivyo Tujifunze kujibalance tukiwa na furaha Sanaa au tukiwa na hasira sana, tutaishi kuna nafasi ya kurekebisha makosa ukiwa hai kujiua niuvivu wa kufikiri na kuona Kila kitu hakiwezekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…