😂😂😂😂Ni tabia za kurithi.
Kaka yangu kabisa wa Damu yuko hivyo. Akiwa na 8 yrs alisusa na hakutaka kuongea na mtu kwa siku 3. Hadi chakula cha usiku ile kujumuika pamoja alikataa.
Sasa ni mtu mzima. Aisee. tunajuta kuwa wadogo zake.
Ashaachana na wanawake 3. Mmoja wa ndoa kanisani. Wawili amezaa na kukaa nao kama mke..Na hapo bado Hajafika 40 yrs.
tena Huyo jamaa akipata hela na kuwa na familia yake atawasumbua sana.
Hana utu na atawatesa sana wanawake.
Ni mtu anayejiona kuwa yeye yuko sahihi. Na hatakiwi mtu mwingine kumkosea.
Kupatana nae ni kumfanya yeye ajione yuko sawa (hakosei kitu) na kumnyenyekea.
Kama amezaliwa katikati ya May 20 - June 23.
Basi ndio kabisa. Kisukari ni +++.
Kazi mnayo Kamanda.
Je km baba hana uwezo au nguvu za kushindana na Dogo?Wewe ni dingi yake kuna sehemu umeteleza toka awali, sasa hii balehe yake inampeleka puta, muite uongee nae kikubwa, ukishindwa mlete kwetu tumfunze adabu..
Kama dingi uko fiti. Akileta ujinga siku mveshe gloves, mpigane, ukishamkanda umueleze kwenye nyumba hiyo mwanaume ni mmoja tu ambae ni wewe, unafanya wale, yeye asome, sasa asilete mambo ya kisemge akotaka ubabe atafute kwake, kwako ni kauli ya mwanaume mmoja tu ndio inazungumza..... hapo kihuni,
Ila kisaikolojia pia inawezekana
Mikeka haiendi sawa.Kijana wangu, ana miaka 20 kwa sasa, yuko chuo anamaliza mwaka wa kwanza, tangu alipomaliza kidato cha sita kawa mtu wa hasira sana, akikosea kitu ukimuonya hataki kabisa kusikiliza, badala yake ataanza kuongea kuonesha hakubaliani na baada ya hapo ananuna haongei na mtu hata siku 3.
Hali hii imekuwa kero sana kwa familia yetu kwani akiwa katika hali hiyo, kila anayemsemesha anamjibu kwa sauti ya kufoka, anapenda kukaa peke yake, anakuwa busy tu na simu yake na si watu wa familia yake, na ikifika wakati wa chakula hajumuiki na wengine anakula kwa wakati wake mwenyewe.
Kuna muda natamani hata likizo iishe arudi chuo nisimuone kabisa kwani kawa simba ndani ya nyumba yangu mwenyewe, kuna muda natamani kumkata makonde ila najizuia, sijui kapatwa na nini.
Je, nifanyeje kumsaidia aache tabia hii ambayo katika makuzi yake hakua nayo, kwa sasa ni mtu mzima siwezi hata kusema nitatumia fimbo.
Uzi uishie hapa umenena vyemawa kike au kiume? kama ni wa kiume, toka nae out, seheme fulani hivi amazing ongea nae kama baba, mzazi wake kwa upole but ukiwa serious, beba hatima yake kwenye utawala wako. Mwambie ukweli juu ya tabia yake, akileta mbwembwe mzabue intact double, go & return. Mpe na onyo..... karipio kali, achague kuwa na adabu au kupotelea huko shule.....mfuatilie na marafiki zake.... pole kwa changamoto
Kwani kusalimia lazima? Au kuwa na engagement na staff wenzio? Anaepusha mengi, kwanza yuko sahihi mazoea ya kiwaki kazini ya nini?Hiyo ni hali ambayo isipofanyiwa kazi inaota mizizi na kuwa tabia mbaya sana in the future, mkuu naomba ifanyie kazi utibu huo ugonjwa wa kijana wako maana atakuwa baba na mume sio mda mrefu sana.
Tuna workmate mwenye tabia hiyo, wallah sijawahi kuona, as I'm writing ana mwezi mzima hana engagement yoyote na staff yoyote, imagine hata salam, usipomsalimia hasalimii mtu, ukihitaji kitu hakupi maana ameweka barrier moja kubwa sana kati yake na wenzake. Watu wanajiuliza kosa gani amefanyiwa hakuna anayejua, amefatwa once kuulizwa ndio amezidi kununa, eeh Mungu mwanaume wa hivi sijawahi kumuona.
Rekebisha hiyo tabia kabla haijawa ugonjwa mkuu!!
Mjomba mnoko kwenye ubora wako..!! 😹Huyo inabidi apuuzwe muda wa msosi ukifika mkimuita mara moja imetosha na msibakizie chakula asipopiga simu hakuna mkupigia lakini kama atakuwa ananuna kidogo tu halafu mnamnyenyekea atawapanda kichwani
Akina Jr nyie hampigwi. Inatakiwa mpigwe ndio miwe na adabu.Hata mimi hii hari hua inanikuta, ila inaondoka automatic mkuu...
Nilitaka nikuite mshkaji wangu, bora umefika na umemalizaa..!! Ushauri muruaWewe ni dingi yake kuna sehemu umeteleza toka awali, sasa hii balehe yake inampeleka puta, muite uongee nae kikubwa, ukishindwa mlete kwetu tumfunze adabu..
Kama dingi uko fiti. Akileta ujinga siku mveshe gloves, mpigane, ukishamkanda umueleze kwenye nyumba hiyo mwanaume ni mmoja tu ambae ni wewe, unafanya wale, yeye asome, sasa asilete mambo ya kisemge akotaka ubabe atafute kwake, kwako ni kauli ya mwanaume mmoja tu ndio inazungumza..... hapo kihuni,
Ila kisaikolojia pia inawezekana
Mimi nina kijana wa kiume yupo chuo kama kijana wako,Kijana wangu, ana miaka 20 kwa sasa, yuko chuo anamaliza mwaka wa kwanza, tangu alipomaliza kidato cha sita kawa mtu wa hasira sana, akikosea kitu ukimuonya hataki kabisa kusikiliza, badala yake ataanza kuongea kuonesha hakubaliani na baada ya hapo ananuna haongei na mtu hata siku 3.
Hali hii imekuwa kero sana kwa familia yetu kwani akiwa katika hali hiyo, kila anayemsemesha anamjibu kwa sauti ya kufoka, anapenda kukaa peke yake, anakuwa busy tu na simu yake na si watu wa familia yake, na ikifika wakati wa chakula hajumuiki na wengine anakula kwa wakati wake mwenyewe.
Kuna muda natamani hata likizo iishe arudi chuo nisimuone kabisa kwani kawa simba ndani ya nyumba yangu mwenyewe, kuna muda natamani kumkata makonde ila najizuia, sijui kapatwa na nini.
Je, nifanyeje kumsaidia aache tabia hii ambayo katika makuzi yake hakua nayo, kwa sasa ni mtu mzima siwezi hata kusema nitatumia fimbo.
Inatakiwa wampige huyo. Atawanyea mkimuendekeza.Huyo inabidi apuuzwe muda wa msosi ukifika mkimuita mara moja imetosha na msibakizie chakula asipopiga simu hakuna mkupigia lakini kama atakuwa ananuna kidogo tu halafu mnamnyenyekea atawapanda kichwani
Hii ndio solution. Ujinga wake akafanyie kwake huko sio kwako. Hao ni wale watoto wakileta ujinga wanachekewa.Mimi nina kijana wa kiume yupo chuo kama kijana wako,
Akizinguwa najifungia nae ndani tunazichapa haswa,,
Sasa kanyooka .
Piga makofi hyo wacha kuleta huruma kwenye malezi.
Kabisa mkuu,,napiga makofi sawa sawa,,Hii ndio solution. Ujinga wake akafanyie kwake huko sio kwako. Hao ni wale watoto wakileta ujinga wanachekewa.