Mwaka wa Mbele
JF-Expert Member
- Mar 5, 2026
- 1,013
- 3,017
kuna mzaz mwenzie tukatokea kupatana. Baada ya kuachana na bro aliniambia mengi.ππππ
Jibu hili hapa na anaishi na traumakwa sasa ni mtu mzima siwezi hata kusema nitatumia fimbo.
Lazima ni mwanachama mahiri na mshirika wa Mbaga JrFanya mpango udukue simu yake.
Ukitaka kumjua mtu basi kagua simu yake.
Fanyia kazi hii,kama unashindwa njoo nikuelekezeFanya mpango udukue simu yake.
Ukitaka kumjua mtu basi kagua simu yake.
Kulea watoto kimayai mayai sana nako kipengele mtoto akifikisha balehe inakuwa ngumu sana kwenda nae.Nilitaka nikuite mshkaji wangu, bora umefika na umemalizaa..!! Ushauri murua
πππ Nimecheka sanaHuyo sio kijana wako, wewe ndio kijana wake
πππkuna mzaz mwenzie tukatokea kupatana. Baada ya kuachana na bro aliniambia mengi.
Jamaa akikasirika haongei na watoto wiki nzima. Akirud ni chumban kwake. Hataki kusikia kelele za watoto wake, TV kuna muda anaifungia chumban watoto wasiangalie.
Kiufupi jamaa anajua kususa na kununa.
Na wala sip malezi. (Mbona mm siko hivyo wakat tumelelewa nyumba moja)
Ni tabia na ndio jinsi alivyo..
Kuna kipind report za Shule msingi. Mm nikapata namba nzuri. Jamaa kafeli. Basi bi mkubwa akasema mwanangu ni mm yeye sio mwanae. Kwann anafeli. (Kiutani tu).
Kumbe jamaa kalishika. Mwaka mzima akiwa anaitwa aambie fanya hivi na hivi. Anasema mwambie mwanao mm sio mwanao. ππππ.
Baada ya wazaz kumjua. Ndio wakajua namna gan ya kuishi nae..
Ila jamaa anajua kususa. Dah
Bado utineja haujamuisha.Mpe muda na kumvumilia atabadilika tu.Kijana wangu, ana miaka 20 kwa sasa, yuko chuo anamaliza mwaka wa kwanza, tangu alipomaliza kidato cha sita kawa mtu wa hasira sana, akikosea kitu ukimuonya hataki kabisa kusikiliza, badala yake ataanza kuongea kuonesha hakubaliani na baada ya hapo ananuna haongei na mtu hata siku 3.
Hali hii imekuwa kero sana kwa familia yetu kwani akiwa katika hali hiyo, kila anayemsemesha anamjibu kwa sauti ya kufoka, anapenda kukaa peke yake, anakuwa busy tu na simu yake na si watu wa familia yake, na ikifika wakati wa chakula hajumuiki na wengine anakula kwa wakati wake mwenyewe.
Kuna muda natamani hata likizo iishe arudi chuo nisimuone kabisa kwani kawa simba ndani ya nyumba yangu mwenyewe, kuna muda natamani kumkata makonde ila najizuia, sijui kapatwa na nini.
Je, nifanyeje kumsaidia aache tabia hii ambayo katika makuzi yake hakua nayo, kwa sasa ni mtu mzima siwezi hata kusema nitatumia fimbo.