Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

Shisa hapo sio mahusiano..shida ni mkeo ana utoto bado hajakomaa kiakili..angalieni ukomavu kabla hamjaoa.
 
Pole aisee, yaani hampo pamoja hadi sasa???
 
aisee uzinzi,na huruma nyingi kw watu zilinitudisha nyuma,ilikuwa nikipata pesa tu mtu yeyote nikikutana nae analia lia haana hata buku 5 nampatia,,kuhusu uzinzi unakuta mdada anaishi mkoa wa mbali kbs ila unajitoa kumtumia nauli na akija anakaa hata wiki 2 hizo zote unamhudumia aisee,mpk akatoke ushaisha kila idara,πŸ˜’πŸ–οΈ
 
Pole mkuu

Nashangaa motivation speakers wameshindwa kuliona hili "wanawake wa kitanzania hawajui kuyaishi mafanikio pale wanapoyapata"

Kuna janga kubwa la wanawake watz kushindwa kuyaishi mafanikio pale wanapoyapata na huu ni ugonjwa wa kisaikolojia inapaswa utibiwe!

Msamehe huyo anaumwa ugonjwa ule wa kuona naweza kuishi bila mwanamme anapofanikiwa wakati alifanikiwa chini ya uangalizi wa mwanamme!!

So sad!!
 
Mda bado haujachelewa.
 
haloo
 
UZEMBE.

Tukiachana na mahusiano na ulevi UZEMBE ni jambo linalotukwamisha sana vijana kufikia ndoto zetu.
Mimi ni mmoja kati ya wanafunzi waliobahatika kujiunga na elimu ya juu miaka kadhaa ilopita. Nliendekeza uzembe kipindi nikiwa chuo kiasi kwamba suala la kupga msuli sikulichukulia kama ndo kilichoniweka pale.

Mwaka wa kwanza nlipga GBA ya 2.1 na ata ckuwaza as long as bado nliexist kwenye system ya chuo na BOOM lilisoma kama kawa.

Mwaka wa pili pia sikubadili jambo. Aloo!!!! Hamuez amini nlikutana na neno DISCONTINUED likipambwa na maneno haya " reason: GPA below an average. "

Kuanzia apo akili yangu ilitibuka. Nikaona n kama nimetupwa na dunia.nilizunguka kila kona ya mtaa nisione cha kushika mazee 😁😁. Kila mtu nlihisi ananitenga na hatak stori na mimi. Familia yangu ndo kabisaaaaa, si baba, si MAMA, si ndugu, wote walinichukia.

Kwa BAHATI nzuri nilikubaliana na hali ile mapema sana. Niliingia rasmi kitaa, nikafakamia kazi yyte inayopita mbele yangu. Kikubwa iwe halali na iwe na chochote. Nlijitafuta katika mazingira matata sana, nlilala nje siku 9 nikiwa sina pa kuutua mwili wangu baada ya Kazi ngumu za mchana zilizoniacha na buku 3 na uhakika wa kula tu😣πŸ˜₯. Nlipitia vingi lkn nikaona sawa tu, sikuwa na chaguo.

Nliparata mkonge sana, nikauza maji barabaran, nikafanya Kazi kiwanja cha SUNOLA Singida, nikatembeza nguo mwanza (mabatini), mpaka pale nlipoamua kuwa MVUVI. Nimepiga kasia sana yani, apo kdg nikapata MWANGA na kuondoa tongotongo mpaka pale nlipoachana na kasia na kuanza biashara ya kuagiza na kusambaza nyavu. Hapa ndo nikaanza na kuongezeka uzito wa mwili baada ya kuwa mkonde kwa muda mref.

Sikuufagilia uvivu na uzembe popote nlipopita an. Hii imenisaidia mpaka sasa nina miradi kadhaa ambayo inanipa kuishi. Angalau sasa nyumbani wananielewa, uhakika wa kufunga ela ndefu kwa siku upo.

VIJANA TUFANYE KAZI KWA BIDII. UVIVU, UZEMBE, MAHUSIANO MABOVU NA ULEVI tusiviabudu.
 
ulichukua hatua gani mpaka ukafanikiwa coz ni jambo gumu sana?
Mkuu kumlilia mungu tu.
Na kujihukumu nafsi kila unapofanya uraibu huo.
Cha kwanza inatakiwa uanze kujionea aibu wewe mwenyewe binafsi.
JESUS NEVER DISAPPOINT ME SINCE DAY ONE.
HASA KATIKA NYAKATI NGUMU KABISA KWA HALI YA KIBINADAMU.
TATIZO LA URAIBU WA NGONO NI KUKOSA HAMU YA KUENDELEA KUISHI.
UNATAMANI KUJIUA SABABU ROHO YA UZINZI NI MAUTI.
I GO THROUGH IT MKUU NA BILA JESUS NISINGEKUA HAPA LEO
 
Mkuu unasema ukweli kabisa nilipoteza 1.6 kwa wiki tu kwa ajili ya uraibu wa ngono na pombe.
Roho iliniuma sana,,wakati kuna watu hata laki moja hawapati kwa wiki.
Nikaamua kubadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…