Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Huko watu wajinga bado wengi sana elimu inahitajika.Ila hali imayoendelea huko siyo haki, ule ni udhalilishaji kwakweli. Unamtambuaje mchawi kama na wewe siyo mchawi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko watu wajinga bado wengi sana elimu inahitajika.Ila hali imayoendelea huko siyo haki, ule ni udhalilishaji kwakweli. Unamtambuaje mchawi kama na wewe siyo mchawi?
[emoji1787][emoji1787]Nitajie ni Polisi wa nchi gani hapa duniani unayoifahamu ambao wanahusisha matumizi makubwa ya akili kwenye scenario kama hiyo ya huko Kazulamimba?
Nisaidie hiko chuo nimehangaika sana kukipata nataka kwa dhati kabisa kuwa mchawiUlaya wameanza kutoa shahada ya uzamili ya uchawi kwenye vyuo vyao vikubwa nyie wachawi mnawasaka chaka tu chaka ili muwauwe.
Endelea kushabikia matumizi ya nguvu dhidi ya wananchi.
Kwani kuna hasara gani kuwaelimisha na kuratibu uondoshwwji wa changamoto zao?
Wachawi ndo walituletea Mwenge wa Uhuru na ndiyo wanaotuwekea viongozi madarakani ujue
serikali sindio watu wenyewe sasa. Utasemaje serikali haiamini uchawi wakati walozi wanaalikwa White house kumzindika mkuluSerikali ikikuuliza leta ushahidi ya kwamba huyu amekuzuia usiendelee.
Utapeleka ushahidi gani ili achukuliwe hatua.
Serikali yetu haiamini katika masuala ya uchawi ila watendaji wake huenda wakawa wanaaamini uchawi.
Na wewe unahitaji kupigwa mpaka akili yako ikukae sawa. Hii nchi bado kuna wajinga wengi sana kumbe.Endelea kushabikia matumizi ya nguvu dhidi ya wananchi.
Kwani kuna hasara gani kuwaelimisha na kuratibu uondoshwwji wa changamoto zao?
Wachawi ndo walituletea Mwenge wa Uhuru na ndiyo wanaotuwekea viongozi madarakani ujue
Mnataka serikali ishirikiane na walozi kuendesha nchi? Wahalifu huwa hawapatikani kwa ramli.Wakuu, hii Nchi ya Ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi Huwa wanageuka kua Miungu watu.
Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na Raia, zilizopelekea Polisi kutumia Silaha za moto, hali hii ilipelekea Raia Kadhaa kufa na wengine kujeruhiwa .
RC, RPC na DC, wakaamua kuzitembelea Hosp zilizopokea majeruhi kimyakimya na kuwaonya kutotoa Taarifa.
Chanzo cha Ugonvi...
Kuna waganga walipelekwa Kijiji huko Kwa Imani za kijadi kwamba wanatafuta wachawi, Kuna mji Mmoja mwenye mji huo akagundulika na Mchawi, Akakimbilia Polisi kishtaki.
Polisi wakamficha hapo na Raia wakamfata hukohuko.
Kukosekana Kwa Busara baina ya Polisi na Raia,. Fuji zikatokea na kituo Cha Polisi hiko kikavunjwa.
Polisi wakaanza kutumia Silaha za moto yaan Bunduki kushambulia Raia.
Raia wengi sana wamejuruhiwa, Vijana, Wanawake na watoto na wazee wameumizwa sana.
Polisi wamewakamata watu Kadhaa na majeruhi Kadhaa na kuwapeleka kusikojulikana, mpaka Sasa Ndugu wanafuta Ndugu zao .
Ni majeruhi wachache tu Tena waloamua kujipeleka Hosp ndio ambao wamejulikana mpaka Sasa ,huku wengine wakiwa hawajulikani.
Polisi wa Kigoma, wanaongoza kuwa na matukio ya "Majeruhi alinyakua Bunduki ya Polisi nakuanza kurushiana risasi ".
Ndugu zangu nawaomba sana Mnisaidie Kupaza sauti,. Ndugu yangu Yuko huko Kikazi, amesombewa humohumo , mpaka Sasa hatuma Taarifa ya uhai au lolote kumhusu yeye.
Nisaidie hiko chuo nimehangaika sana kukipata nataka kwa dhati kabisa kuwa mchawi
HujakatazwaNa wewe unahitaji kupigwa mpaka akili yako ikukae sawa. Hii nchi bado kuna wajinga wengi sana kumbe.
Kwa taarifa yako UCHAWI si dili....Nisaidie hiko chuo nimehangaika sana kukipata nataka kwa dhati kabisa kuwa mchawi
Hivi uliwahi.kusikia katika nchi ya Tanzania mtu amehukumiwa mahakani sababu ya uchawi.serikali sindio watu wenyewe sasa. Utasemaje serikali haiamini uchawi wakati walozi wanaalikwa White house kumzindika mkulu
Tangulia kituo cha polisi popote karibu yako nikukute mwenyewe .Hujakatazwa
Njoo nipige mkuu🤣🤣🤣
Kuna watu Wana ujinga mwingi sana kichwani. Yaani wanafanya nakosa ya wazi sana ambayo hata kuchomoka kwenye mkono wa sheria ni ngumu.Mahakama zipo ...
Mpelekeni mahakamani kwa hizo tuhuma za "yasiyoonekana"....
Ni kweli uchawi upo....ni sayansi ya "gizani"....
Unashinikizaje polisi wakupe mtuhumiwa ?!!![emoji15][emoji15]
Raia wajibu wetu si kutii sheria zetu wenyewe?!!! [emoji15][emoji15]
UNAVAMIAJE KITUO CHA POLISI???? [emoji15]