Kijiji chote kimesombwa na Mafuriko, Kanisa limebaki

Kijiji chote kimesombwa na Mafuriko, Kanisa limebaki

Nimesikia mahali Wazee wa Hanang wanadai Hilo janga limeletwa na hasira za mizimu kwa watu kutotambika eneo lile. Kwa muktadha wa habari hii Bila shaka ndio maana kanisa limeshindikana.
Mkuu kuna waumini wanatambika mpaka ndani ya majengo ya kanisa. Hao vipi?

Tujifunze kutofautisha kati ya jengo la kanisa na Kanisa. Ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Hapa kijijini nilipo, mwaka jana kuna upepo mkali ulipita usiku mmoja, ukang'oa paa la jengo la Kanisa tu, nyumba zingine zote mapaa yalibakia salama. (Miezi michache kabla ya hilo tukio, mhandisi mmoja wa hilo dhehebu alipita na kuona uduni wa namna hilo paa lilivyojengwa na kutoa angalizo kuwa, upepo mkali wowote unaweza kuling'oa hilo paa kirahisi, hivyo warekebishe mapema).

Sasa embu tuambie kiroho imekaaje?
Hiyo ni Kimatereals
 
Back
Top Bottom