Kijiji chote kimesombwa na Mafuriko, Kanisa limebaki

Haya Kanisa hilo
Screenshot_20231206-133146.jpg
 
View attachment 2833512

"Kwenye madhara haya tumepata majeruhi pia wapatao 116, wanaume ni 56 na wanawake ni 60, ndugu Watanzania haya maafa ni makubwa sana, pia tumepata uharibifu mkubwa wa nyumba za kuishi, mashamba na mitambo mbalimbali ya magari, nimepata bahati ya kwenda Gendabi nyuma ya milima, kile kijiji nyumba zimeachwa upande wa kulia na kushoto eneo la katikati nyumba zote zimeondoka limebaki kanisa tu, hali sio nzuri,"

Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

===

Salamu,

Huko Hanan'g kijiji cha Ngendabi nyumba zote zimesombwa na maji ila kanisa limesimama vilevile.
Je hii ni sababu ya matereal za ujenzi au Koroho zaidi?
UPANDE WA PILI LINGEBAKI HANDAKI NA MAKOBAZI

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
wamekufa zaidi ya watu 60 na wamebaki zaidi ya watu 50000.. hii imekaaje.
 
Waandishi wamezuiwa wasipige picha , wewe umeona picha za kueleweka za tukio
Hakuna kitu kinanikera Kama hiki, na hii inaashiria hata taarifa za vifo na majeruhi ni za kupikwa, kila ukweli unafichwa,

Back kwenye mada, kwanini hao watu "hawakufunuliwa" kukimbilia kanisani? Huenda wangepona wote!!!
 
Unafikiri labda ni adhabu ya mungu, Dunia bado IPO kwenye evolution process hizi natural phenomena ni jambo lakuwa nalo kichwani.

Lakini wakazi waliona mlima ukifoka Moshi wenye harufu mbaya.

Cunajua CCM Tena ,hawana Akili,wakaficha
 
View attachment 2833512

"Kwenye madhara haya tumepata majeruhi pia wapatao 116, wanaume ni 56 na wanawake ni 60, ndugu Watanzania haya maafa ni makubwa sana, pia tumepata uharibifu mkubwa wa nyumba za kuishi, mashamba na mitambo mbalimbali ya magari, nimepata bahati ya kwenda Gendabi nyuma ya milima, kile kijiji nyumba zimeachwa upande wa kulia na kushoto eneo la katikati nyumba zote zimeondoka limebaki kanisa tu, hali sio nzuri,"

Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

===

Salamu,

Huko Hanan'g kijiji cha Ngendabi nyumba zote zimesombwa na maji ila kanisa limesimama vilevile.
Je hii ni sababu ya matereal za ujenzi au Koroho zaidi?
Yesu kristo ni yeye yule jana leo na hata milele
 
Unafikiri labda ni adhabu ya mungu, Dunia bado IPO kwenye evolution process hizi natural phenomena ni jambo lakuwa nalo kichwani.

Lakini wakazi waliona mlima ukifoka Moshi wenye harufu mbaya.

Cunajua CCM Tena ,hawana Akili,wakaficha
Hapo hata Mungu tunamsingizia, ametupa akili za kutosha, baada ya watu kuripoti moshi usio wa kawaida, ilikuwa Ni jukumu la serikali kufika haraka, kufanya uchunguzi, kuwataarifu watu hatari iliyopo, hata serikali isingewahamisha lakini wengi wangehamia maeneo mengine kwa muda
Watu wanapoona serikali yao Ipo kimya wanaamini wapo salama, kumbe Ni serikali inayosubiri kusema "hata ulaya wanakufa"
 
View attachment 2833512

"Kwenye madhara haya tumepata majeruhi pia wapatao 116, wanaume ni 56 na wanawake ni 60, ndugu Watanzania haya maafa ni makubwa sana, pia tumepata uharibifu mkubwa wa nyumba za kuishi, mashamba na mitambo mbalimbali ya magari, nimepata bahati ya kwenda Gendabi nyuma ya milima, kile kijiji nyumba zimeachwa upande wa kulia na kushoto eneo la katikati nyumba zote zimeondoka limebaki kanisa tu, hali sio nzuri,"

Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

===

Salamu,

Huko Hanan'g kijiji cha Ngendabi nyumba zote zimesombwa na maji ila kanisa limesimama vilevile.
Je hii ni sababu ya matereal za ujenzi au Koroho zaidi?
Nyumba za nyasi
 
Back
Top Bottom