Kijiji chote kimesombwa na Mafuriko, Kanisa limebaki

Hapa kijijini nilipo, mwaka jana kuna upepo mkali ulipita usiku mmoja, ukang'oa paa la jengo la Kanisa tu, nyumba zingine zote mapaa yalibakia salama. (Miezi michache kabla ya hilo tukio, mhandisi mmoja wa hilo dhehebu alipita na kuona uduni wa namna hilo paa lilivyojengwa na kutoa angalizo kuwa, upepo mkali wowote unaweza kuling'oa hilo paa kirahisi, hivyo warekebishe mapema).

Sasa embu tuambie kiroho imekaaje?

Sio makanisa yote ni ya kiroho, kuna mengine ni ya shetani, na hata makanisa ya Kiroho yakijengwa vibaya yatabomoka, Mungu anaweza, ila pia ana kanuni na mahusiano na watu ambayo sisi sote hatuwezi jua status zao na uhalali wao wa kumfuata Mungu.
 
Salamu,

Huko Hanan'g kijiji cha Ngendabi nyumba zote zimesombwa na maji ila kanisa limesimama vilevile.
Je hii ni sababu ya matereal za ujenzi au Koroho zaidi?

===
View attachment 2833512

"Kwenye madhara haya tumepata majeruhi pia wapatao 116, wanaume ni 56 na wanawake ni 60, ndugu Watanzania haya maafa ni makubwa sana, pia tumepata uharibifu mkubwa wa nyumba za kuishi, mashamba na mitambo mbalimbali ya magari, nimepata bahati ya kwenda Gendabi nyuma ya milima, kile kijiji nyumba zimeachwa upande wa kulia na kushoto eneo la katikati nyumba zote zimeondoka limebaki kanisa tu, hali sio nzuri,"- Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Science first before myth!
 
View attachment 2833512

"Kwenye madhara haya tumepata majeruhi pia wapatao 116, wanaume ni 56 na wanawake ni 60, ndugu Watanzania haya maafa ni makubwa sana, pia tumepata uharibifu mkubwa wa nyumba za kuishi, mashamba na mitambo mbalimbali ya magari, nimepata bahati ya kwenda Gendabi nyuma ya milima, kile kijiji nyumba zimeachwa upande wa kulia na kushoto eneo la katikati nyumba zote zimeondoka limebaki kanisa tu, hali sio nzuri,"

Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

===

Salamu,

Huko Hanan'g kijiji cha Ngendabi nyumba zote zimesombwa na maji ila kanisa limesimama vilevile.
Je hii ni sababu ya matereal za ujenzi au Koroho zaidi?
ASANTE SANA mana watu walidai ni CHAI YA COCOA
 
Attachments

  • Screenshot_2023-08-17-16-20-08-01.jpg
    Screenshot_2023-08-17-16-20-08-01.jpg
    34.9 KB · Views: 3
Mung
View attachment 2833512

"Kwenye madhara haya tumepata majeruhi pia wapatao 116, wanaume ni 56 na wanawake ni 60, ndugu Watanzania haya maafa ni makubwa sana, pia tumepata uharibifu mkubwa wa nyumba za kuishi, mashamba na mitambo mbalimbali ya magari, nimepata bahati ya kwenda Gendabi nyuma ya milima, kile kijiji nyumba zimeachwa upande wa kulia na kushoto eneo la katikati nyumba zote zimeondoka limebaki kanisa tu, hali sio nzuri,"

Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

===

Salamu,

Huko Hanan'g kijiji cha Ngendabi nyumba zote zimesombwa na maji ila kanisa limesimama vilevile.
Je hii ni sababu ya matereal za ujenzi au Koroho zaidi?
Mungu anadhihirisha ukuu wake
 
Mungu anaonyesha ukuu wake!!
 
Back
Top Bottom