Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Naenda kuonana nao, halafu Tampa mtu atapresent humu tulia tulia nduguNimesikia mahali Wazee wa Hanang wanadai Hilo janga limeletwa na hasira za mizimu kwa watu kutotambika eneo lile. Kwa muktadha wa habari hii Bila shaka ndio maana kanisa limeshindikana.
Mkuu kuna waumini wanatambika mpaka ndani ya majengo ya kanisa. Hao vipi?Nimesikia mahali Wazee wa Hanang wanadai Hilo janga limeletwa na hasira za mizimu kwa watu kutotambika eneo lile. Kwa muktadha wa habari hii Bila shaka ndio maana kanisa limeshindikana.
Salamu.Huko Hanan'g kijiji cha Ngendabi nyumba zote zimesombwa na maji ila kanisa limesimama vilevile.
Je hii ni sababu ya matereal za ujenzi au Koroho zaidi?
Umeanza mambo ya wafuasi wa Mudy[emoji52]Salamu.Huko Hanan'g kijiji cha Ngendabi nyumba zote zimesombwa na maji ila kanisa limesimama vilevile.
Je hii ni sababu ya matereal za ujenzi au Koroho zaidi?
Yale yale ya kule nanihu, 😂Salamu.Huko Hanan'g kijiji cha Ngendabi nyumba zote zimesombwa na maji ila kanisa limesimama vilevile.
Je hii ni sababu ya matereal za ujenzi au Koroho zaidi?
Hiyo ni KimaterealsHapa kijijini nilipo, mwaka jana kuna upepo mkali ulipita usiku mmoja, ukang'oa paa la jengo la Kanisa tu, nyumba zingine zote mapaa yalibakia salama. (Miezi michache kabla ya hilo tukio, mhandisi mmoja wa hilo dhehebu alipita na kuona uduni wa namna hilo paa lilivyojengwa na kutoa angalizo kuwa, upepo mkali wowote unaweza kuling'oa hilo paa kirahisi, hivyo warekebishe mapema).
Sasa embu tuambie kiroho imekaaje?
Hili ndio jibu.Kanisa limejenfwa Kwa msingi imara. Nyumba za raia kutokana na uelewa mdogo ktk maduka ya ujenzi na umaskini zimeegesgwa TU.