Kijiwe cha JF: Kona ya vijana wa rika zote na jinsia zote

Ushauri: Age hii ndio age vijana wanahitaji sana ushauri, kutiwa moyo na kuelekezwa game ya maisha. Vijana wengi hawana MENTORS kwenye maisha yao. Ndio maana wanajikuta kwenye makosa, kukata tamaa n.k.
 
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1GkBAHZ7Jp/
 
Vijana tunapigwa kila kona. Ajira ngumu tukikosa ajira mzazi anakuona mzembe, mbna fulani kapata. Tukiamua tujiajiri jamii na wazazi bado hawaamini kwenye hyo njia, kupata mitaji inakua ngumu, ukiamua liwalo na liwe ngoja nijiajiri kibishi mategemeo yao kwako ni kutoboa mapema, vibuti haviishi. Sijui vijana tukamlilie nani, tukiamka kudai haki serikalini, mama yao anatuua kama kuku.
 
mimi nipo kwenye age hiyo na pia najipambania kila angle ni ukweli
 
Kuna wahuni walidukua sim yangu jana usiku, yaani wameandika comments za hovyo sana humu ndani..🫤
Ila wakuu, pombe sio kitu poa alooo.....😂
🙌🏿🙌🏿🏃🏿
Your browser is not able to display this video.
 
vijana wa miaka 8 tukutane hapa
 
Sasa kama vijana hatupewi kipaumbele unafikiri hata tukisema shida zetu nani atatusikiliza? Labda mpaka magufuli afufuke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…