Kijiwe cha JF: Kona ya vijana wa rika zote na jinsia zote

Nachoka Mimi😂😂🙌🏾..
Kunyweni wakuu msivunje tu Sheria za nchi🚮
Kwa vijana wanaojifunza pombe
Ulevi una kanuni kuu tatu muhimu... Ukijiona uko bar na umeanza kuzisahau ondoka haraka sana hilo eneo.. Maana kesho ipo na waandishi wa kujitolea pia wapo

Kamwe Usisahau hizi kanuni tatu
1. Wewe ni nani
2. Uko wapi
3. Unafanya nini
 
Hii imekaa poa..
 
Asante hata mimi mwanao ninywe pombe au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…