Hao madogo ndo watu gani mkuu humu jukwaani?Men to men only.. Please ladies step aside nataka kuongea na madogo hapa😎
Nahisi humu hawapo, humu wote ni wakubwa tu, over 26 yearsUnder 21
😅😅 huo niupendo wa nguvu sana bwashee
Mdudu ana leta njaa mapema 😅Hahahaha.. Tutamtayarishia mdudu😋 kilo nzima na ndizi nne wa kuchoma😂
Hiv kobe analiwa ? Juzi nilitengeneza supu ya samaki mkubwa mbichi nikapata , pombe ilishuka hatari😅Basi kobe😂