Kikaangoni: Utapeli wa BSS ya Madam Rita, washindi wa nyuma nao wafuatiliwe

kimsingi kala anafahamika kwa msuli wake,bss haina mchango.ona hata watu hawakumbuki alikuwa mshindi wa ngapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli Kala Jeremiah kajibeba mwenyewe kiasi kikubwa, mshindi wa kwanza awamu yao Jummanne Idd sijui alipotelea wapi na lile gari lake nilisikia alikula nalo mzinga wa mkubwa.
 
Daaah, inatia hasira sana.
 
Mtake radhi mzee wa watu hakua mjinga kiasi hicho
 
Hii hufanyika michezo yote ya mashindano... sio tanzania tu... duniani kote.... huanyika hivyo kwa kuwa waandaaji wana interest zao..
lakini haa hivyo tusiangalie upande mmoja tu kumlaumu madam rita ukifuatilia utagundua kuna gharama kubwa majaji wote na team nzima wanaenda mikoani kusaka vipaji wanafikia mahotelini bado majaji inabidi nao walipwe
washiriki wakifika dar wanafikia hotelini mpaka msimu unaisha kuna gharama za kukodi ukumbi kila wiki wakuimbia washiriki sasa hapa tungewekwa wazi hizi kwenye hizi gharama kunakunakuwa na makubaliano yapi na kampuni inayozamini
hatuwezi kujua pengine zawadi ya mshindi ni mil 5 lakini inabidi ili kuongez mvuto watu wengi inabidi itajwe zawadi nono i
 
Sasa wale wa 3 mzuka si wanaambulia 500k tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kampuni kati hizo hizo za Bahati Nasibu niliwahi kushinda Jackpot ya Milioni 5 na nilipewa zote ila kuna makato ya kodi ya Serikali tu ambayo 20% ya TRA (Mapato), hivyo Pesa iliongizwa kwnye Account ni Mil 4 baada ya kodi. Haikuwa na ubabahishaji wowote.
 
unatetea upuuzi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…