Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Padri Mcharo Mcharuko.
Nilikua Padri mwenye misimamo sana.
Padri pekee niliemsapoti Askofu Gwajey kipindi kile cha sijui amekula maharagwe ya wapi yuleeeee

Mbona ya Gwajey ni ya juzi na wewe uliasi 2012?
 
Kwa nini wewe ni member ambaye ni Moja ya member muhimu ambao hawajitambui kiakili?


Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.

Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
Bangi hazijawahi kumuacha mtu salama!
 
Kwanini wewe ni mfitini, mchonganishi, mgomvi na mfuata mkumbo?

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna maswali ukijibu nakuja maana unaoneka umezaliwa kwenye uislam na umekulia kwenye uislam na unapenda ukristo,,,,prove me wrong or right ,,,,,kwa kujibu maswali uliyoyaruka
Nimemuuliza swali la kiimani (ambapo ni procedure fulani hivi mashemasi huifanya kabla ya kupewa daraja ya ushemasi)akasema eti alijaribu kuwauliza maaskofu nao hawakumjibu kitu ambacho ni uongo...nimeachana naye.
 
Kama lilivo jina langu.
Mimi ni Mcharuko kweli kweli.
Yaani sipendi uzushi, napenda facts.
Nikikuwashia moto lazima uimbe "a e i o u"
Dini ya haki inakufanya uwe mcharuko?bikra yako ya...t....o....bado unayo? mana kwenye dini ya haki kupulizwa t.....o...na shetani ni kitu cha kawaida
 
Nimemuuliza swali la kiimani (ambapo ni procedure fulani hivi mashemasi huifanya kabla ya kupewa daraja ya ushemasi)akasema eti alijaribu kuwauliza maaskofu nao hawakumjibu kitu ambacho ni uongo...nimeachana naye.
Huyu ni muongo lakini ni mwanaume mwenye mdomo mrefu sijawahi ona ,,,nazani kile kitendo ni sehemu ya masomo wanaelewa wanao fanya na sio mbwembwe kama anavo dai
 
Back
Top Bottom