mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hata mimi nakuona[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nakuona nakuonaa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nakuona[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nakuona nakuonaa....
Padri Mcharo Mcharuko.
Nilikua Padri mwenye misimamo sana.
Padri pekee niliemsapoti Askofu Gwajey kipindi kile cha sijui amekula maharagwe ya wapi yuleeeee
Bangi hazijawahi kumuacha mtu salama!Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.
Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
Nimemuuliza swali la kiimani (ambapo ni procedure fulani hivi mashemasi huifanya kabla ya kupewa daraja ya ushemasi)akasema eti alijaribu kuwauliza maaskofu nao hawakumjibu kitu ambacho ni uongo...nimeachana naye.Kuna maswali ukijibu nakuja maana unaoneka umezaliwa kwenye uislam na umekulia kwenye uislam na unapenda ukristo,,,,prove me wrong or right ,,,,,kwa kujibu maswali uliyoyaruka
Dini ya haki inakufanya uwe mcharuko?bikra yako ya...t....o....bado unayo? mana kwenye dini ya haki kupulizwa t.....o...na shetani ni kitu cha kawaidaKama lilivo jina langu.
Mimi ni Mcharuko kweli kweli.
Yaani sipendi uzushi, napenda facts.
Nikikuwashia moto lazima uimbe "a e i o u"
Mbona salam ya mbali hvyo?haukai utie barkaa[emoji1] [emoji1]Nakusalimia tu mkuu
Huyu ni muongo lakini ni mwanaume mwenye mdomo mrefu sijawahi ona ,,,nazani kile kitendo ni sehemu ya masomo wanaelewa wanao fanya na sio mbwembwe kama anavo daiNimemuuliza swali la kiimani (ambapo ni procedure fulani hivi mashemasi huifanya kabla ya kupewa daraja ya ushemasi)akasema eti alijaribu kuwauliza maaskofu nao hawakumjibu kitu ambacho ni uongo...nimeachana naye.
Unamkimbiza mwenzio kwenye Uzi wake lolMcharo hebu tuambie maana ya ishara ya msalaba ni nini?
Je maana ya kwaresma ni nini?
Mbona salam ya mbali hvyo?haukai utie barkaa[emoji1] [emoji1]
Mcharo hebu tuambie maana ya ishara ya msalaba ni nini?
Je maana ya kwaresma ni nini?
Padre anachungulia mikeka yake kwanza
Sent from my Fero A4001 using JamiiForums mobile app