KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Habari za muda huu wazee wenzangu.
Poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nyakati hizi kumekuwa na malalamiko na manung'uniko sana kwenye vyumba vya wapendanao........
Malalamiko mengine ni ya gubu la kike lakini mengine ni ya msingi na yanatakiwa kuangaliwa kwa jicho la tatu.
Kumekuwa na masononeko ya baadhi ya wakina Baba kushindwa kuwajibika kukifanya kile kilichofanya aende akatoe mahari na kumleta ndani mtoto wa watu.
Msingi wa mada hii Wanaume wenzangu ni kuangalia namna ya kutatua changamoto hii ili mk maisha yarudi kama zamani
Wengi wa walalamikaji wanalalamikia mabadiliko ya miili ya waume zao. Yawezekana yakawa yapo mengi yenye kusababisha hayo.......lakini mimi binafsi nashauri tuzingatia sana mazoezi ya viungo ili kuwa na mwili imara kama Simba kwa ajili ya majukumu yako ya usiku na mchana kwa dharula.
Nakaribisha mjadala ili kila mdau atoe maoni yake ya kiutatuzi, wanaume hatutupani........
Karibuni wapendwa.