Kikao cha dharula; Wanaume wenzangu hebu njooni kidogo tusemezane kidogo

Kikao cha dharula; Wanaume wenzangu hebu njooni kidogo tusemezane kidogo

Masculine men we're against feminism since it's aimed to bring men down its against masculinity

Who God has made the head, leader, and superior can never be brought down

We didn't make the rules. God did
Feminism is not aimed to bring men down instead it is aimed to empower women to become independent from men, but misogynists like you do not want women to be independent since you know that means you can no longer control them and make them your slaves, and stop being a Hypocrite you are talking about God and yet you are the one who lures women into committing fornication and anal sex..pathetic!!
 
Habari za muda huu wazee wenzangu.

Poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.

Niende moja kwa moja kwenye mada.

Nyakati hizi kumekuwa na malalamiko na manung'uniko sana kwenye vyumba vya wapendanao........

Malalamiko mengine ni ya gubu la kike lakini mengine ni ya msingi na yanatakiwa kuangaliwa kwa jicho la tatu.

Kumekuwa na masononeko ya baadhi ya wakina Baba kushindwa kuwajibika kukifanya kile kilichofanya aende akatoe mahari na kumleta ndani mtoto wa watu.

Msingi wa mada hii Wanaume wenzangu ni kuangalia namna ya kutatua changamoto hii ili mk maisha yarudi kama zamani

Wengi wa walalamikaji wanalalamikia mabadiliko ya miili ya waume zao. Yawezekana yakawa yapo mengi yenye kusababisha hayo.......lakini mimi binafsi nashauri tuzingatia sana mazoezi ya viungo ili kuwa na mwili imara kama Simba kwa ajili ya majukumu yako ya usiku na mchana kwa dharula.

Nakaribisha mjadala ili kila mdau atoe maoni yake ya kiutatuzi, wanaume hatutupani........

Karibuni wapendwa.
Hili tatizo la nguvu za kiume linakuzwa kuliko uhalisia wake ,siku hizi kuna tatizo kubwa la hormones imbalance kwa wanawake ambalo linapelekea wao kukosa hisia au kuchelewa sana kufika kileleni na mbaya zaidi wao hawalijui hilo ,kwa kawàida mwanamke ambae yuko sexually active anaweza kufika kileleni hata ndani ya dk 5 ila mwenye hormones imbalance inaweza kuchukua hata nusu saa ,sasa akikutana na mwanaume ambaye anaishia let say robo saa ataamini hana nguvu kumbe mwenye shida ni yeye ,na siku hizi ni kawaida kumkuta mwanamke akijisifu kua haendekezi hayo mambo na anaweza kukaa hata miezi mitatu lakini ukichunguza kwa undani utakuta hana hisia ila anadhania kua haendekezi hayo mambo kumbe hisia hakuna
 
Back
Top Bottom