Kikao cha dharula; Wanaume wenzangu hebu njooni kidogo tusemezane kidogo

Kikao cha dharula; Wanaume wenzangu hebu njooni kidogo tusemezane kidogo

Huwezi kushindana na ulipotoka bali kutimiza wajibu wako kama mtu maalumu aliyeingia naye mikataba wa jambo hilo
Sasa ndo kama jamaa hapo yeye ametimiza wajibu wake wa bao mbili, sasa unataka mtu afie kwenye uchi ndio ujue ametimiza majukumu yake.?
 
Tule Sea food.
20240420_150833.jpg

Vitamin Sea, Sea never dry
 
Habari za muda huu wazee wenzangu.......

Poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.........

Niende moja kwa moja kwenye mada........

Nyakati hizi kumekuwa na malalamiko na manung'uniko sana kwenye vyumba vya wapendanao........

Malalamiko mengine ni ya gubu la kike lakini mengine ni ya msingi na yanatakiwa kuangaliwa kwa jicho la tatu.........

Kumekuwa na masononeko ya baadhi ya wakina Baba kushindwa kuwajibika kukifanya kile kilichofanya aende akatoe mahari na kumleta ndani mtoto wa watu.....

Msingi wa mada hii Wanaume wenzangu ni kuangalia namna ya kutatua changamoto hii ili mk maisha yarudi kama zamani

Wengi wa walalamikaji wanalalamikia mabadiliko ya miili ya waume zao..........

Yawezekana yakawa yapo mengi yenye kusababisha hayo.......lakini mimi binafsi nashauri tuzingatia sana mazoezi ya viungo ili kuwa na mwili imara kama Simba kwa ajili ya majukumu yako ya usiku na mchana kwa dharula........

Nakaribisha mjadala ili kila mdau atoe maoni yake ya kiutatuzi........wanaume hatutupani........

Karibuni wapendwa.........
Mimi nilivyoona ulivyopiga mbiu nikajua leo kuna Jambo la Hatari.
 
Mwanetu kafeli sana

Na hivyo vitoto vya Kiasia hasa Far Easr Asia vilivyo na nyuchi zilizobana tofauti na mapango ya dada zetu wa Kibongo unatakiwa unapiga hata bao 5 na kuendelea kitu mnato
Naskia ikiwa inabana Sana ndege inawahi Sana kushusha wazungu 😎
 
Sio utumwa....bali huo ndio uanamume huo........😄😄😄😄😄
uanaume gani mkuu kumtumikia mwanamke maisha yako yote!
iasee mimi sijujua kama ndio ingekuwa hivi!
i think nitaongea na mtoto wangu wa kiume vizuri asije kuwa miongoni mwa tunaolia.
 
Ungetafuta mtu mwingine wa kummalizia stress zako, maana nilichokiandika mimi na ulichonijibu wewe ni tofauti, wewe muda wote huwa una chuki na wanawake but i'm sorry i ain't the reason behind your misogyny
I' ant misogynist

She'll call a man misogynist or other negative names if she can't manipulate him

Cc; Anita Makirita
 
tumejikuta watumwa kwa wanawake, sijui ni wapi kulikua chanjo cha kosa, wanawake wenywe hawashawishi, hwasisimui yaani taabu tupu.
Acha tu rafiki yangu. Zamani hadhi ya demu awe bikira, ana nidhamu na mtiifu ila saiv unakuta demu mdangaji ana ma-ex 15+, K ipo nyang'ang'anya yaani ukiangalia kila kigezo mwanaume ndio upo juu yake kithamani lakini cha kushangaza vijana wanajishusha mpaka unashangaa ni upumbavu, ushamba wa K au nini
 
Back
Top Bottom