Kikao cha dharula; Wanaume wenzangu hebu njooni kidogo tusemezane kidogo

Kikao cha dharula; Wanaume wenzangu hebu njooni kidogo tusemezane kidogo

Matatizo yote yanaanzia kwenye afya, kama hufanyi mazoezi, unakula fats daily, pombe ndo usiseme. Unategemea utahimili shoo? Bao moja ni sawa na kukimbia miles 5 kwa saa moja. So lazma uwe fit.
 
hamma kitu hapo wanawake wa siku hz wengi wao hawajui maandalizi ya tendo wachojua ni kuoga na kukitega na hapo unakuta ni mkavu, sarakasi 0.
Ukiacha factor zingine lakini afya ni jambo la msingi Sana........

Watanzania tuna ufahamu mdogo Sana kwenye masuala ya afya.....

Misamiati kama hiyo fats na protein NI migeni kwenye vichwa na masikio ya walio wengi........

Ni lazima mtu mwenye utimamu wa akili ujue unakula nini na unachokula kinakwenda kufanya nini kwenye mwili wako.........

Watanzania ukizungumzia mazoezi wao wanawaza kama wakina John Cena au Mike Tyson.......hali ya kuwa mazoezi ni mambo madogo madogo uyatendayo yanayo ushughulisha mwili..........

Mwili wa mwanamume mwenye afya njema ya uzazi haiwezi kuisha wiki nzima hajasimamisha uume asubuhi kama ilivyo ada na kawaida.......
Matatizo yote yanaanzia kwenye afya, kama hufanyi mazoezi, unakula fats daily, pombe ndo usiseme. Unategemea utahimili shoo? Bao moja ni sawa na kukimbia miles 5 kwa saa moja. So lazma uwe fit.
 
Mwanetu kafeli sana

Na hivyo vitoto vya Kiasia hasa Far Easr Asia vilivyo na nyuchi zilizobana tofauti na mapango ya dada zetu wa Kibongo unatakiwa unapiga hata bao 5 na kuendelea kitu mnato
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Haya mambo muda mwingine yanataka mbinu za kimedani.....
 
Katika Jambo sina muda wa kupoteza,ni kulizisha mwanamke.

Tako mbili tatu,wazungu Hawa hapa Mimi nimekojoa ,atajua yeye .
 
Katika Jambo sina muda wa kupoteza,ni kulizisha mwanamke.

Tako mbili tatu,wazungu Hawa hapa Mimi nimekojoa ,atajua yeye .
Katika muktadha wa kidini unatenda dhambi.......Ile ni haki yake kama vile chakula.......na mambo mengine ya kimsingi......... kama ukijiona u dhaifu kwenye ni kheri kwako umuache mtoto wa watu kuliko kumfanya aingie dhambini.....
 
Katika muktadha wa kidini unatenda dhambi.......Ile ni haki yake kama vile chakula.......na mambo mengine ya kimsingi......... kama ukijiona u dhaifu kwenye ni kheri kwako umuache mtoto wa watu kuliko kumfanya aingie dhambini.....
Nikijaribu yote hayo,hela & na game heavy lakini alichonifanya nikaona siji rudia kumlidhisha ,nitajiridhisha mwenyewe.
 
Nikijaribu yote hayo,hela & na game heavy lakini alichonifanya nikaona siji rudia kumlidhisha ,nitajiridhisha mwenyewe.
Sasa huo ni ukurasa mwingine.........lakini maagano ya ndoa ni pamoja na hayo
 
Upo sahihi mkuu.

Katika Hio ndoa...Vita niliipigana,Imani nikailinda Ila mwendo sikuumaliza,ilikufa.

Nadhani nilikua mwema kupitiliza,akaniona fala...nasikia wanapenda wasumbufu.
No
Hakuna anayependa msumbufu bali character za kiume....ngoja nikuibie Siri kidogo.......

Mwanamke anapenda mwanamume anayeendesha mambo yake kwa maamuzi yake na sio kupangiwa........

Unapoyapokea matakwa ya mwanamke zaidi ya matano na kuyafanyia kazi ni kipimo cha udhaifu kwake na hakuna mwanamke anapenda mwanaume dhaifu.........

Kingine wanawake ni watu wa drama kama watoto wadogo na wewe kama mwanaume hutakiwi kuzama kwenye drama zake bali kwenye misingi yako.......hizo drama ni maigizo na hayatoki moyoni bali huamua Tu.......ndio maana unaweza ukaongea neno akajiliza then anakupigia simu kukuomba msamaha........

Jambo la msingi kwa mwanaume kama kiongozi make your rules then ishi na mtu anayetaka under your rules kinyume na hapo muache aende........

Mwanamke anayempenda mwanaume wake anajua nafasi yake na atafuata sheria zako kinyume na hapo hakuwa anakupenda bali alivutiwa na benefits za kwenye huo muunganiko........ one's akikinai au kupata chaguo la moyo anaenda
 
Upo sahihi mkuu.

Katika Hio ndoa...Vita niliipigana,Imani nikailinda Ila mwendo sikuumaliza,ilikufa.

Nadhani nilikua mwema kupitiliza,akaniona fala...nasikia wanapenda wasumbufu.


Pole sana...

Naweza sema hukuwa umempata wako wa ubavu wako.

Kuna namna ya filosofia ule ubavu uliotolewa kwa mwanaume pale bustanini wakati mwanamke anafinyangwa na kutumika kumuumba mwanamke......

Kwenye hii tasnia au taasisi ya ndoa, utakuwa umeweza ama umepatia iwapo utapatana na ambaye ubavu wako ulichomolewa ukawekwa kwake, kuna namna kimwili, kiroho, hata mkitizamana tuu unaona loki zimeshikana yaani bolti na nati zimetaiti kisawia.... yaani kama sumaku.... yaani ile mnasogeleana unakuta hook ya mwanaume ina lock barabara kwenye hook ya mwanamke....

Na hiyo ndo inaitwa interlock, ndo maana kuna fungate, ndo maana haina nati kulegea wala kuachia.....


Shida inakuja, watu si wastamilivu, wanajaribisha kila loki na hook kama ndo penyewe na kwenye kujaribisha ndo mmatokeo ya singo maza and faza na wajukuu kulelewa na babu na bibi na kama hawapo ndo watoto wa mitaani.......


Vurugu ni kubwa mno, ila mpango ulikuwa mzuri sana wenye kuleta neema na haiba njema kwa mwanadamu.

Wakati ukuta,


Bibi Kasinde, nimepita hapa.
 
Acha tu rafiki yangu. Zamani hadhi ya demu awe bikira, ana nidhamu na mtiifu ila saiv unakuta demu mdangaji ana ma-ex 15+, K ipo nyang'ang'anya yaani ukiangalia kila kigezo mwanaume ndio upo juu yake kithamani lakini cha kushangaza vijana wanajishusha mpaka unashangaa ni upumbavu, ushamba wa K au nini
K Imepewa thamani isiyo kuwa nayo, propaganda nyingi dhidi yake, njoo kwenye uhalisia nyeto ina afadhali!
 
uanaume gani mkuu kumtumikia mwanamke maisha yako yote!
iasee mimi sijujua kama ndio ingekuwa hivi!
i think nitaongea na mtoto wangu wa kiume vizuri asije kuwa miongoni mwa tunaolia.
Uwe makini asije akakuelewa vibaya....akadhani unamwambia aolewe yeye
 
Same to those who Call women feminists (or other negative names) then 🙂🙂
Masculine men we're against feminism since it's aimed to bring men down its against masculinity

Who God has made the head, leader, and superior can never be brought down

We didn't make the rules. God did
 
Waambieni Hao kina mama kuwa wao sio magari kwamba mwanaume kazi yake ni kuingiza Gia tu na Gari linaondoka. Wengi wanajifunza tabia chafu kwa kuangalia pornography kwenye simu na mwisho wanakuwa harlots. Siyo jukumu la mwanaume kumridhisha harlots. Mwanamke akifikia level hiyo tayari lawama zitaanza tu. Mwanamke mwenye busara atakaa na mwenza na wajaribu kutatua changamoto zilizopo na siyo kulalamika kwenye mitandao. Kweli mwanamke mwenye busara asijadili na mmewe na atoke kwenda kuyasema kwenye social media na abaki kuwa mwanamke kweli. She is already a harlots aende atakuwa satisfied mtaani.
 
Back
Top Bottom