Kikao cha dharula; Wanaume wenzangu hebu njooni kidogo tusemezane kidogo

Kikao cha dharula; Wanaume wenzangu hebu njooni kidogo tusemezane kidogo

Mda unafanya mazoezi usisahau kuzingatia na vitu unavyo kula.
Kuna mda wanalalamika gear no 2 haiingi kumbe wao ndio chanzo kwa kutulisha vyakula visivyo tupa nguvu
Hawa wenzetu wanatuua sana na mapishi......unakuta mchuzi unashinda na mafuta vyote vinaelea.......
 
Hizo ndom zimetumika kwenye mabao mawili tuu, naskia hizo sio imara hua zinatabia ya kupasuka

Alisikika huyo mdada hapo kwenye picha.
Hahaa😅 kumbee

Nikajua mwanetu kapiga bao 6 ila demu hajaridhika anataka bao nyingine 2 ndio aondoke magetoni
 
Sasa si utakuwa kama unatumia ARV Tu unaishi kwa matumaini siku ukikosa ndio basi tena.........

Kikao hichi kinataka suluhisho la kudumu
Hakunaga suluhisho la kudumu la hiyo ishu, hakuna cha mazoezi wala kuzingatia ulaji hayo yanatibu kwa kiwango kidogo sana labla 5% tuu.
 
Watuache tuu, maisha yetu yenyewe yanataka tuyakojoze afu bado na wao tena.
Hii kauli yako itakusababishia matatizo kijana.......utaachwaje wakati mtoto wa watu ana hamu na wewe ndio ndimu mkata shombo
 
Mimi siku zote nilijuaga wanaume ni viumbe strong na powerful, ambao hawatetereshwi na chochote (hii ni kwa mujibu wenu wenyewe), sasa ninapoona na kusikia malalamiko ya wanaume siku hizi yamekuwa mengi huwa nakosa majibu
Jadda Leo pumzika rafiki yangu 😁
 
Their sweetness is no longer the same like TBT/ those days, materials wanazo tumia sio rafiki kulingana na hii mada.

Sometimes unalaumu mwanaume pasipo sababu.
 
Nikupe cv yangu kaka uniconnect mahali
 
Yaani unatakiwa upambane kutafuta mahitaji lakini pia unatakiwa uzungushe kiuno kama feni bovu ili mtoto wa watu afurahie........umeme ukiwa mdogo lawama.........

😃😃😃😃😃✌️
tumejikuta watumwa kwa wanawake, sijui ni wapi kulikua chanjo cha kosa, wanawake wenywe hawashawishi, hwasisimui yaani taabu tupu.
 
tumejikuta watumwa kwa wanawake, sijui ni wapi kulikua chanjo cha kosa, wanawake wenywe hawashawishi, hwasisimui yaani taabu tupu.
Sio utumwa....bali huo ndio uanamume huo........😄😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom