Kikao cha dharura kwa walioumizwa na mapenzi

To yeye achilia ili maisha yaendelee,kuweka moyoni ndo kunafanya mambo yawe magumu,unajua ktk maisha mi nasemaga sina majuto ila Nina elimika,kila linalotokea!

Nshatendwa Sana'a,nshaumizwa lakini hainizuii kupenda tena, na nikipenda napenda as if ndo my first man,ili niwe huru na moyo utulie maana naamini nikipenda nusu baasi uhusiano sitaupa uhai,halafu sasa unapaswa kuachilia ukipata mtu umpe nafasi achana kabisa na past na haijalishi umeumizwa kiasi gani ,maisha yanahitaji usonge mbele...

Na moyo wangu ukitua unatua moja kwa zote yaani ht mwanakae akae uchi sisimkwi ,maisha yakogo hvyo yaani.

Kuna watu wana mapito makubwa lakini wamemove on na Mungu kawabariki pazuri mnoo!Changamoto zako zitaisha mpenzi wewe sio wa kwanza na wala sio mwisho kutendwa ktk huu ulimwengu na wanaume wengi mkiachana sio walezi wa watoto ,wanaolea watoto ni mama zao.

Hizo changamoto ni kwa kua bado mambo hayajakaa sawa but I'm telling you,your Prince charming is there waiting for you and when the right time come ,he will not care if you have kids or mgumba ,atakupenda wewe na watoto wako bila masimango.
Ukiona mwanaume anakusimanga kisa watoto au umri jua hakua wa kwako usilazimishe mapenzi kwa boyfriends.

Unachopaswa kufanya ni kuiishi Leo,yaliyopitwa si ndwele mpenzi.Ukipata mtu trust him wholeheartedly ondoa doubt zote usimlimganishe na exes wanaume hutofautiana kama ilivyo wanawake sisi angalia ana mema mangapi ,hakuna mkamilifu ktk ardhi !

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka afu nkakuonea huruma etii[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Asante sana mkuu,barikiwa
 
Wewe ni mimi katika kila kitu aiseeh, nimeamini hapa duniani kila unachopitia basi hauko pekeako.
 
Hahahaaa..[emoji1787]. Nakusalimia kakangu![emoji113]
Mie nipo, na wifi yako hajambo kabisa pamoja na watoto wetu 8 wana afya njema.
Kwakweli tunamshkuru Mungu kwa hili.
Hofu kwenu sister.....
 
Kwani kaachwa?

Kipindi kile na wewe ulivurugwa...

Lakini ndio maisha.
 
Hivi nyie mnao umizwa na hii kitu mapenzi, hua mnaumia wapi?

Yaani nikikuuliza unaweza ukanionyesha panapo una kwasababu ya mapenzi?

Kuna mtu kaniambia eti anaumia kwasababu ya mapenzi, sasa nimemuuliza anionyeshe mahali panapo muuma
Moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…