Lissu alipokuwa anapigania madini yetu, ulimtafsiri kuwa ni mkorofi na mwenye kiburi. Kimaigizo igizo JPM anaigiza kufanya aliyokuwa anafanya Tundu Lissu, mnakatia viuno JPM kwa mapambio kuwa JPM ni mzalendo analinda rasilimali zetu! Weee lijamaa ni mnafiki kumzidi Judah Iskariote.Lissu ana asili ya ukorofi na kiburi. Anajua hawezi pata Urais ila anatoa kauli za kichochezi kutugawa.
Na asiesema kitu kuhusu kushindwa na kushindwa ni nani?Mtu anayekuambia asiposhinda patachimbika huyo hata wafuasi wake wenye busara ni wachache mno,asilimia kubwa ni wahuni tu.Huyo akae mbali kabisa hatutaki kumuona.Tena usitukumbushe tukaanza kumwimbia nyimbo tulizomwimbia Oscar kambona (Mungu amrehemu)miaka ile.
Ni argument nzuri, Tanzania inahitaji kuwa moja - kamwe tusiendelee kuhadaa umma - wananchi ambao ndio kipindi cha uchaguzi huamua nani awe diwani, mbunge, mwakilishi na Rais basi maamuzi yao yaheshimiweUmetumia neno kali lakini ndio hivyo.Kila dalili uchaguzi utavurugika,kuna watu watakufa,kuna watu wataumizwa lakini mwisho wa yote maisha yataendelea.
Serikali za mitaa ilitokea na hata kwa uchaguzi huu itatokea lakini kama CCM ilivyoshindwa kutabiri impact ya Lissu ndivyo itakavyoshindwa kutabiri maisha baada ya UCHAGUZI!!
Wapiga kura,pigeni na rudini nyumbani waachieni mawakala wafanye kazi yao.Msipambane na askari.
YATAPITA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa Nini CCCM watawale milele Paschal, hata Kama wanakosea? Sasa Nini maaana na umuhimu wa vyma vingi si bora waseme Kuna chama kimoja tu basi
Ndyali tunaingia kwenye chaguzi tukiwa takriban makundi matatuLisu alipokuwa anapigania madini yetu, ulimtafsili kuwa ni mkorofi na mwenye kiburi. Kimaigizo igizo JPM anaigiza kufanya aliyokuwa anafanya Tundu Lisu, mnakatia viuno JPM kwa mapambio kuwa JPM ni mzalendo analinda lasilimali zetu! Weee lijamaa ni mnafiki kumzidi Judah Iskariote.
Ingawa hili swali halijaelekezwa kwangu lakini naomba tufahamu kidogo kwamba - nchi yetu mwishoni ilipambania Uhuru kamili toka kwa mwingereza (waliopambania hili moja wapo ni Mwl Nyerere)Kwa Nini CCCM watawale milele Paschal, hata Kama wanakosea? Sasa Nini maaana na umuhimu wa vyma vingi si bora waseme Kuna chama kimoja tu basi
Kweli kabisaKikao cha nini. Kumuweka Rais wetu Magufuli na Lissu ni sawa na kumtia najsi.
Fine, weka maoni yako sasa usiishie njiani - kwa umri wako huwezi kuishia kuunga mkono au kukataa bila kuwa na njia sahihi ipasayoUpuuzi mtupu
So maana yake ni kazi kwa wapinzani wao wnyewe kupambana wapate haki yaoIngawa hili swali halijaelekezwa kwangu lkn naomba tufahamu kidogo kwamba - nchi yetu mwishoni ilipambania Uhuru kamili toka kwa mwingereza (waliopambania hili moja wapo ni Mwl Nyerere)
Sasa kama ilivyokuwa kwa USA miaka ya 1700 / 1800 baada ya kutoka kuwa taifa la utumwa ilifiata mitifuano ya ndani kati ya mtu mweupe na mtu mweusi - hapa ndipo tunapowaona akina Martin Luther King wakipambania Uhuru wao, haki yao na maendeleo sawia - hivyo kwetu sisi leo mpaka tunafika hatua fulani lzm tabaka linalodhani linakandamizwa liwe na mechanisms za kuepuka ukandamizwaji
Wewe na wengine lzm muwe ktk nafasi ya kuhakikisha hakuna ukandamizwaji ndani ya taasisi za vyama vya siasa
na Kibaraka wa Amsterdam & Co.Eti nini? Raisi Magufuli akutane na nini?
Sijamusikia, ni lazima tutembelee hisia na matendo yake?? Ipi njia sahihi inayoweza kutumika ili kuiweka Tanzania yenye umoja wa kitaifa?Uko nyuma ya wakati sana chief. Hujamsikia askofu marakana sio
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai - anawezaKuna mtu mbaguzi na mwenye akili kuliko watanzania wote kati yao, hawezi kukaa na mtu hapo
Sio tu hivyo Lissu ni kichwa haswaaaa akiwekwa pale kuna watakaokosa kujiamini kwa sababu hakuna anayemzidi kwa hoja jembe yule.Magufuli ni masikio yanayozidi kichwa kama ya punda. Hawezi kukaa na Lissu. Unaweza kukaa na mtu uliyetaka kumuua?
NEC itende haki na kila kitu kiwe above board. Kusiwe na figisufigisu ya aina yoyote ili yeyote aliyeshindwa aone kweli ameahindwa na akubali matokeo.Mkuu Msakila, naelewa hofu yako! Labda Una watoto wadogo kama mimi, labda Una umri wa kuwa settled, Una kazi yako, umewekeza, kama mimi! Kama ndivyo, madhara yakitokea, Sisi ni wahanga zaidi! Hata Mimi namwomba Mungu, kama amani ikishindikana, basi utulivu uendelee, tukeep status quo!
Tatizo ni kwamba kila ukombozi, kuna damu huwa inamwagika, na inaonekana saa ya ukombozi imekaribia! Mungu atuvushe tu, lakini kuna watakao poteza ili wengine wapate ukombozi, hope si Wewe wala mimi!