Kikao cha Dkt. John Magufuli, Tundu Lissu, Dkt. Hussein Mwinyi na Maalim Seif Sharif Hamad ni muhimu kabla ya utangazaji matokeo

Hakuna wa kushinda njaa - wote ni washindi, rejea kauli ya Rais wa upinzani aliyeshinda nchini Shelisheli
Iko wapi hiyo kauli ya Rais aliyeshinda Seychelles? Niwekee hapa nione alisema nini, nitarejea vipi sasa?
 
Ninavyoona mimi inasikitisha mno uchaguzi huu unasikitisha wapendwa Tuombe Mungu sana atuepushe na dhahama maana mhemko ni mkubwa mno
 
Hakuna kikao ,wizi wa kura hautakubalika ,tume watangaze matokeo ya kweli ,wakileta za kubumba bumba imekula kwao!!
 
Umeshakosea unaposema wagombea wenye nguvu wakutane unamaana nani ananguvu kumzidi Magu au unataka kikao kimpe mgombea wako nguvu. Hakuna ujinga kama huo kufanyika, wabashiri wa mambo ya kisiasa wanasema Lisu atapata kura asilimia chini ya 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…