Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
- Thread starter
- #121
Hakuna wa kushinda njaa - wote ni washindi, rejea kauli ya Rais wa upinzani aliyeshinda nchini ShelisheliNi kweli Magufuli atashinda njaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna wa kushinda njaa - wote ni washindi, rejea kauli ya Rais wa upinzani aliyeshinda nchini ShelisheliNi kweli Magufuli atashinda njaa.
Iko wapi hiyo kauli ya Rais aliyeshinda Seychelles? Niwekee hapa nione alisema nini, nitarejea vipi sasa?Hakuna wa kushinda njaa - wote ni washindi, rejea kauli ya Rais wa upinzani aliyeshinda nchini Shelisheli
Kweli kabisa, huyo msaliti aende zake akafie zake huko mbele kwa mbele. Amalize uchaguzi aende zake zake kwa hao waliomtuma akananiiwe salama tu.Kikao cha nini. Kumuweka Rais wetu Magufuli na Lissu ni sawa na kumtia najsi.
No siyo kikaangoni - kushauriwa na kushauriana njia sahihi ipasayoKuna viongozi wakiskia kikao wanazani wapo kikaangoni
Sina hakika kama ni mashetani - ni binadamu wawezao kubadilika iwapo jitihada za makusudi zitachukuliwaCCM sio wa kukaa nao, ni zaidi ya mashetani.
Ukae na shetani mjadili nini?!
CCM wabaya zaidi ya Mashetani.Sina hakika kama ni mashetani - ni binadamu wawezao kubadilika iwapo jitihada za makusudi zitachukuliwa
Hakuna kikao ,wizi wa kura hautakubalika ,tume watangaze matokeo ya kweli ,wakileta za kubumba bumba imekula kwao!!WanaJF,Salaam!
Ninapendekeza kifanyike kikao cha haraka kitakachowakutanisha wagombea wenye nguvu kwa upande wa Zanzibar na Tanganyika ikiwezekana hata wasiokuwa na nguvu wahusishwe.
Kikao hicho kiwe na uwezo wa kuwajenga kisaikolojia, kuwaangaliza na kuwataka kuheshimu katiba ya nchi, utashi wa wapigakura, na utayari wa kukubali matokeo ya uchaguzi. Aidha, kikao hicho kwa kiasi kikubwa kinaweza kuratibiwa na uongozi wa Kanisa la Waadiventista Wasabato kwa kuwa huwa hawana upande wowote - lakini pia balozi zetu na asasi za kiraia zaweza kushirikishwa.
Kwa mtazamo wangu sioni haja kabisa ya mabomu kutumika katika uchaguzi na utangazaji matokeo, sioni haja ya risasi kutumika, sioni haja ya tume kusafisha wagombea kwa dodoki, sioni haja ya maandamano, wala sioni haja ya wagombea kuhasimiana. Naona haja ya mgombea kukiri kushindwa na kupongeza aliyeshinda kihalali.
Tanzania ni moja na hatuwezi kupata Tanzania nyingine ikiwa itavurugika, Zanzibar ni moja na hatuwezi kupata nyingine ikiwa itavurugika.
Nawatakia uchaguzi mwema 2020
Msakila Mussa Kabende
Mwanaccm
Kigoma - Tanzania
25 Oktoba, 2020
Wewe ilikuaje ukaambulia kura moja tu? Ndivyo CCM itakavyo shangazwa pia.
Haijawahi kuibiwa kura - kuweni na amaniHakuna kikao ,wizi wa kura hautakubalika ,tume watangaze matokeo ya kweli ,wakileta za kubumba bumba imekula kwao!!
Haijawahi kuibiwa kura - kuweni na amaniHakuna kikao ,wizi wa kura hautakubalika ,tume watangaze matokeo ya kweli ,wakileta za kubumba bumba imekula kwao!!