Kikao cha Samia na wakubwa wa Jeshi Tanga ni kikao kazi au?

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
821
Reaction score
2,099
Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi.

Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au kikao mkakati
 
Hata akae kwa kulindwa na vifaru na makombora fact kwamba majority hatumtaki tutampeleka kalinyekalinye mpaka ashangae.
 
Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi.

Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au kikao mkakati
Hahahahahaha hizi ndo habari mnapewa na dada yenu Maria sio? Halafu hamnaga akili ya ku reason kabisa!! Samia awafwate wasaidizi wake kwa gari kwani ikulu Dodoma kuna nini asiwaite? Mna utoto sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
CCM is not political party,CCM is just a terrorist organization like alqaeeda, ISS,AL shabab, janjaweed or bokoharam
 
Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi.

Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au kikao mkakati
Amekwisha likoroga, atalinywa tu; hakuna namna nyingine tena.

Huwezi kumwaga damu ya waTanzania kishenzi namna hii halafu ubaki salama.
 
Km na wewe ungeandamana kuonyesha uzalendo wako ingependeza sana.
Manake kelele za nyuma ya Techno wanapenda wale waimba mchiriku.

Una hasira. Njoo mtaani tuzione .
IMG_2648.jpeg
IMG_2649.jpeg
IMG_2650.jpeg

Nikiangalia ‘kota’ zenu hapa na Abdul kanavyopiga mabilioni haishangazi hasira zenu mnazimalizia kuua raia yaani mpaka watoto na wajawazito mnaua tu and that’s what consoles your miserable disgusting life, huyo shankupe minyonyo mikubwa anawatumia vilivyo huku akizidi kujineemesha yeye personally na familia yake. Nchi malaya huyo anateua watoto, wakwe, boyfriends mpaka majirani kuwa ministers no wonder alipata division zero form four.

Kwa nyinyi mbwa mnaotumika, I don’t really blame you coz it’s obvious background zenu zinafanana na hivyo vibanda mnavyohifadhiwa kama kuku humo.
 
Hahahahahaha hizi ndo habari mnapewa na dada yenu Maria sio? Halafu hamnaga akili ya ku reason kabisa!! Samia awafwate wasaidizi wake kwa gari kwani ikulu Dodoma kuna nini asiwaite? Mna utoto sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Inawezekana kabisa ulikuwa umepewa tenda ya kumnasa Mbowe' Mpango ulipoharibiwa na akina Tundu Lissu, akili yako haikurudi kuwa sawasawa tena.

Maumivu haya utaishi nayo hadi kaburini.
 
Yaani mmekuwa watu wakubebwa ujinga na habari za kitoto za kiasi hiki 🤣🤣🤣🤣🤣
 
KWA MAZINGIRA YA SASA GEN Z WAKITANGAZA MAANDAMANO HATA KAMA HAWATAFANYA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LAZIMA VIWEKE LOCK -DOWN.

KUWEKA LOCK-DOWN MAANA YAKE NI KUKWAMISHA SHUGHULI NYINGI ZA KIUCHUMI; UTALII UNADORORA ZAIDI, BANDARI KUNASIMAMA, USAFIRI WA ANGANI NA ARDHINI UNADORORA ZAIDI NA MAPATO YA SERIKALI YANAPUNGUA.
 
Hahahahahaha hizi ndo habari mnapewa na dada yenu Maria sio? Halafu hamnaga akili ya ku reason kabisa!! Samia awafwate wasaidizi wake kwa gari kwani ikulu Dodoma kuna nini asiwaite? Mna utoto sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acha use@nge ww mchepuko wa Mbowe, utakuja kutafunwa siku moja. Kuna uongo gani kwenye hilo?
 
Back
Top Bottom