Kikao cha Samia na wakubwa wa Jeshi Tanga ni kikao kazi au?

Kikao cha Samia na wakubwa wa Jeshi Tanga ni kikao kazi au?

Hata akae kwa kulindwa na vifaru na makombora fact kwamba majority hatumtaki tutampeleka kalinyekalinye mpaka ashangae.
Watu hawajaamua tu wakimtaka mbona anapasuka fresh tu mwache ajishauena kushikia kiuno ipo siku yake atajaa kwenye vice
 
Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi.

Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au kikao
Ili waamini kwamba ni mzima tena wa afya,
Km 500 na ushee sio mchezo
 
Amekwisha likoroga, atalinywa tu; hakuna namna nyingine tena.

Huwezi kumwaga damu ya waTanzania kishenzi namna hii halafu ubaki salama.
Safari zake zitakua za kwenda Mikoani atakua ana pishana na Mawaziri wake, Akitoka nje ameenda Uarabuni, China, Burundi, Uganda.
 
Mbona wala siyo ya kuumiza kichwa hii?ni kwamba ameenda kuwashukuru kwa kumlindia ugali wake na wa wanae.

Mshike mshike wa juzi hapa unadhani kama siyo hao watu huyo mwanamke angekuwa alipo leo?
 
Hahahahahaha hizi ndo habari mnapewa na dada yenu Maria sio? Halafu hamnaga akili ya ku reason kabisa!! Samia awafwate wasaidizi wake kwa gari kwani ikulu Dodoma kuna nini asiwaite? Mna utoto sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uwe unaweka akiba ya maneno bibie.
Amewafuata sasa, uliyewaita wanaohoji kuwa ni watoto.
 
Hahahahahaha hizi ndo habari mnapewa na dada yenu Maria sio? Halafu hamnaga akili ya ku reason kabisa!! Samia awafwate wasaidizi wake kwa gari kwani ikulu Dodoma kuna nini asiwaite? Mna utoto sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu usiwe kama tumbusi unabisha kitu ambacho kimejaa Katika mitandao na pipicha za video zinaonekana yupo Tanga unasemaje ni uongo bila kufanya utafiti?
 
Hahahahahaha hizi ndo habari mnapewa na dada yenu Maria sio? Halafu hamnaga akili ya ku reason kabisa!! Samia awafwate wasaidizi wake kwa gari kwani ikulu Dodoma kuna nini asiwaite? Mna utoto sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Haya una la kusema tena? Samia yuko tanga

Sometimes mnaleta ujuaji mwingi,

Kama unaona huna cha kuchangia then kaa kimya tu,
 
Haya una la kusema tena? Samia yuko tanga

Sometimes mnaleta ujuaji mwingi,

Kama unaona huna cha kuchangia then kaa kimya tu,
Mbona sio siri? Umesoma vizuri habari? Hiyo si kazi tu ya kawaida na inajulikana sasa siri iko wapi? Mantiki yangu ni kuwa kungekua na hiyo siri ya kuwafwata si angewaita?
 
Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi.

Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au kika

Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi.

Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au kikao mkakati
Unaonaje ukitunga uongo?
 
Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi.

Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au kikao mkakati

Wakulungwa walikuwa wanataka kupindua nchi???

Au wamemuita ili awatunuku vyeo Maafisa waandamizi
 
Hao wakuu wa vyombo wote wako hapo Dodoma wanapigwa tu na vumbi.

Labda kama kaenda kwenye chuo cha jeshi la zimamoto na uokoaji kilichopo Tanga

Au kaenda chuo cha Uhamiaji nacho kipi Tanga kama sikosei
 
Mimi nashauri bi chura atumie pikipiki au baskeli
au akate chocho kwa miguu
Kwa usalama wake angani tutamdungua!
 
WhatsApp Image 2025-12-08 at 7.10.24 AM.jpeg
 
Yaani mmekuwa watu wakubebwa ujinga na habari za kitoto za kiasi hiki 🤣🤣🤣🤣🤣
'Issue' hapa siyo "...kuwa watu wa kubebwa ujinga na habari za kitoto...". Inaonekana hata upeo wa kujuwa misingi wa mijadala kwa upana wake
 
Back
Top Bottom