Kapita njia ipi?Ili waamini kwamba ni mzima tena wa afya,
Km 500 na ushee sio mchezo
Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi.
Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au kikao mkakati
Aibu imekurudia wewe poleHahahahahaha hizi ndo habari mnapewa na dada yenu Maria sio? Halafu hamnaga akili ya ku reason kabisa!! Samia awafwate wasaidizi wake kwa gari kwani ikulu Dodoma kuna nini asiwaite? Mna utoto sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapa mbona wewe ndio umeaibika sasa.. punguza ujuaji mkuuHahahahahaha hizi ndo habari mnapewa na dada yenu Maria sio? Halafu hamnaga akili ya ku reason kabisa!! Samia awafwate wasaidizi wake kwa gari kwani ikulu Dodoma kuna nini asiwaite? Mna utoto sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
InawezekanaUvira
Inawezekana
Matokeo yake mmetaga nyie aseeNi mwendo wa uchochezi tu sasa, Amiri jeshi awafuata waamriwa kwa gari😀, ni kubandua bandika, Hadi mtage yai!