CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Watu hawajaamua tu wakimtaka mbona anapasuka fresh tu mwache ajishauena kushikia kiuno ipo siku yake atajaa kwenye viceHata akae kwa kulindwa na vifaru na makombora fact kwamba majority hatumtaki tutampeleka kalinyekalinye mpaka ashangae.
... atajinyeatutampeleka kalinyekalinye mpaka ashangae.
Huyu tuliyempigia kura tunaye mpaka 2030 nyinyi endeleeni kuleta ushenzi, tutawatuliza vilivyo.Hata akae kwa kulindwa na vifaru na makombora fact kwamba majority hatumtaki tutampeleka kalinyekalinye mpaka ashangae.
Ili waamini kwamba ni mzima tena wa afya,Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi.
Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au kikao
Safari zake zitakua za kwenda Mikoani atakua ana pishana na Mawaziri wake, Akitoka nje ameenda Uarabuni, China, Burundi, Uganda.Amekwisha likoroga, atalinywa tu; hakuna namna nyingine tena.
Huwezi kumwaga damu ya waTanzania kishenzi namna hii halafu ubaki salama.
Uwe unaweka akiba ya maneno bibie.Hahahahahaha hizi ndo habari mnapewa na dada yenu Maria sio? Halafu hamnaga akili ya ku reason kabisa!! Samia awafwate wasaidizi wake kwa gari kwani ikulu Dodoma kuna nini asiwaite? Mna utoto sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu usiwe kama tumbusi unabisha kitu ambacho kimejaa Katika mitandao na pipicha za video zinaonekana yupo Tanga unasemaje ni uongo bila kufanya utafiti?Hahahahahaha hizi ndo habari mnapewa na dada yenu Maria sio? Halafu hamnaga akili ya ku reason kabisa!! Samia awafwate wasaidizi wake kwa gari kwani ikulu Dodoma kuna nini asiwaite? Mna utoto sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahahaha hizi ndo habari mnapewa na dada yenu Maria sio? Halafu hamnaga akili ya ku reason kabisa!! Samia awafwate wasaidizi wake kwa gari kwani ikulu Dodoma kuna nini asiwaite? Mna utoto sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona sio siri? Umesoma vizuri habari? Hiyo si kazi tu ya kawaida na inajulikana sasa siri iko wapi? Mantiki yangu ni kuwa kungekua na hiyo siri ya kuwafwata si angewaita?Haya una la kusema tena? Samia yuko tanga
Sometimes mnaleta ujuaji mwingi,
Kama unaona huna cha kuchangia then kaa kimya tu,
Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi.
Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au kika
Unaonaje ukitunga uongo?Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi.
Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au kikao mkakati
Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi.
Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au kikao mkakati
Kaamua kuwakatisha tamaa kuhusu afyaIli waamini kwamba ni mzima tena wa afya,
Km 500 na ushee sio mchezo
'Issue' hapa siyo "...kuwa watu wa kubebwa ujinga na habari za kitoto...". Inaonekana hata upeo wa kujuwa misingi wa mijadala kwa upana wakeYaani mmekuwa watu wakubebwa ujinga na habari za kitoto za kiasi hiki 🤣🤣🤣🤣🤣