Tetesi: Kikao cha usiku Gamondi ang'aka awaambia viongozi msimu haujaisha nidhamu na majeruhi ndio chanzo cha kupoteza mechi

Amedata huyo ameshajisahaulisha kama mchezaji alobeba tuzo nyingi za ligi msimu uliopita alikua Aziz Ki.
Kushuka kwa mchezaji ni kipindi cha kawaida, tutakuwa mashabiki oya oya kama tutawazodoa wachezaji ambao ndani ya misimu mitatu wameifikisha Yanga level iliyopo.
 
Kushuka kwa mchezaji ni kipindi cha kawaida, tutakuwa mashabiki oya oya kama tutawazodoa wachezaji ambao ndani ya misimu mitatu wameifikisha Yanga level iliyopo.
Japo daah msimu huu Yanga sijui imepatwa na nini!
Imekua nyonde nyonde sana aiseee.
 
We manara acha ujinga yani unafungua I'd jf uje kujitetea? Sasa we unamchango gani kwenye timu zaidi ya matusi na kufitinisha watu?
 
Japo daah msimu huu Yanga sijui imepatwa na nini!
Imekua nyonde nyonde sana aiseee.
Ni kawaida sana hiyo kwenye mpira wa miguu, hakuna timu isiyopanda na kushuka. Kupoteza mchezo ni sehemu ya mpira wa miguu. Acha inyeshe tujue panapovuja ili january tupazibe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ