kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #21
Adui muombee njaa!***** hakuna marefu yasi na mwisho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Adui muombee njaa!***** hakuna marefu yasi na mwisho.
Wenyewe wamelala!
Aisee yaani kwenye mpira kama CCM na CHADEMA mwisho mchezo wa mpira nao utapoteza radha, huko ulaya timu kubwa zinafungwa magoli mengi tuu mambo yanaenda vizuri bila kuwepo kwa rapsha rapsha
Fafanua!Hutakiwi kumuwaza adui, unatakiwa kukaa kwenye strategy! Kwa hiyo ukiogopa kuvamiwa unaacha tafuta hela?
Ngoja tu FIFA walete kikosi kaziUnataka kusema ni mateja!
Hizi mboyoyo za uongo,msipende kujitungia tungia tu mada mkuu,halafu mbaya zaidi wabongo huwa mabingwa wa kuzungumza msicho na ushahidi nacho.Ngoja tu FIFA walete kikosi kazi
Kwahiyo unataka kusema ni hasara? Rejea mafanikio ndani ya yanga ikiwa na azizi ki na msimu bado unaendelea.Uto si huwa mnafufua uzi wa Hasara ya Aziz Ki. Vipi leo mbona kimya?
Amedata huyo ameshajisahaulisha kama mchezaji alobeba tuzo nyingi za ligi msimu uliopita alikua Aziz Ki.Kwahiyo unataka kusema ni hasara? Rejea mafanikio ndani ya yanga ikiwa na azizi ki na msimu bado unaendelea.
Usisahau tupo CAF CL group stage.
Mr. Domo ndio nani mkuu!?😂kwenda mkataba wa Mr domo kuna kipengele cha lazima acheze? Maana jamaa msimu huu ni amna kitu kabsa
Kushuka kwa mchezaji ni kipindi cha kawaida, tutakuwa mashabiki oya oya kama tutawazodoa wachezaji ambao ndani ya misimu mitatu wameifikisha Yanga level iliyopo.Amedata huyo ameshajisahaulisha kama mchezaji alobeba tuzo nyingi za ligi msimu uliopita alikua Aziz Ki.
Japo daah msimu huu Yanga sijui imepatwa na nini!Kushuka kwa mchezaji ni kipindi cha kawaida, tutakuwa mashabiki oya oya kama tutawazodoa wachezaji ambao ndani ya misimu mitatu wameifikisha Yanga level iliyopo.
.Mr. Domo ndio nani mkuu!?
Embu tujuze.
Huyu jamaa msimu huu daah sijui kawaje.
We manara acha ujinga yani unafungua I'd jf uje kujitetea? Sasa we unamchango gani kwenye timu zaidi ya matusi na kufitinisha watu?Mbuzi wa kafala anatafutwa,kiburi chako injinia kwa manara na wenzake ndiyo matokeo yake haya.Kuna mtu alitoa nyuzi kumtaka injinia amrudishe manara na wenzake watu wakabeza na kusema anacheza namba ngapi?wasichojua watu wanamawazo na mipango ya kuifanya klabu iwemaarufu na imara kisoka.
Ni kawaida sana hiyo kwenye mpira wa miguu, hakuna timu isiyopanda na kushuka. Kupoteza mchezo ni sehemu ya mpira wa miguu. Acha inyeshe tujue panapovuja ili january tupazibe.Japo daah msimu huu Yanga sijui imepatwa na nini!
Imekua nyonde nyonde sana aiseee.
Sio point moja utopolo simba ana mechi moja mkononi ajacheza😂😂😂😂Simba na Yanga wameachana point 1 tu, ni ujinga ku panic
Sio point moja utopolo simba ana mechi moja mkononi ajacheza😂😂😂😂