Tetesi: Kikao cha usiku Gamondi ang'aka awaambia viongozi msimu haujaisha nidhamu na majeruhi ndio chanzo cha kupoteza mechi

Tetesi: Kikao cha usiku Gamondi ang'aka awaambia viongozi msimu haujaisha nidhamu na majeruhi ndio chanzo cha kupoteza mechi

Amedata huyo ameshajisahaulisha kama mchezaji alobeba tuzo nyingi za ligi msimu uliopita alikua Aziz Ki.
Kushuka kwa mchezaji ni kipindi cha kawaida, tutakuwa mashabiki oya oya kama tutawazodoa wachezaji ambao ndani ya misimu mitatu wameifikisha Yanga level iliyopo.
 
Kushuka kwa mchezaji ni kipindi cha kawaida, tutakuwa mashabiki oya oya kama tutawazodoa wachezaji ambao ndani ya misimu mitatu wameifikisha Yanga level iliyopo.
Japo daah msimu huu Yanga sijui imepatwa na nini!
Imekua nyonde nyonde sana aiseee.
 
Attachments

  • Stephane_Aziz_Ki_(cropped).jpg
    Stephane_Aziz_Ki_(cropped).jpg
    42.9 KB · Views: 2
Mbuzi wa kafala anatafutwa,kiburi chako injinia kwa manara na wenzake ndiyo matokeo yake haya.Kuna mtu alitoa nyuzi kumtaka injinia amrudishe manara na wenzake watu wakabeza na kusema anacheza namba ngapi?wasichojua watu wanamawazo na mipango ya kuifanya klabu iwemaarufu na imara kisoka.
We manara acha ujinga yani unafungua I'd jf uje kujitetea? Sasa we unamchango gani kwenye timu zaidi ya matusi na kufitinisha watu?
 
Japo daah msimu huu Yanga sijui imepatwa na nini!
Imekua nyonde nyonde sana aiseee.
Ni kawaida sana hiyo kwenye mpira wa miguu, hakuna timu isiyopanda na kushuka. Kupoteza mchezo ni sehemu ya mpira wa miguu. Acha inyeshe tujue panapovuja ili january tupazibe.
 
Back
Top Bottom