Umslopagazi
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,675
- 903
Hujakutananao, Wana shoo Kali hatari, mpaka inakuwa unamuwaza sanaNi uchafu kula mke wa mtu, kulala na mke wa mtu ni jambo la ajabu sana.
Unajua pasi na shaka, huyu analala na mume wake yule pale kila siku.
Sijui wanaume tuna shida gani, unakosaje pride ya kukubaliana na uchafu wa kiwango hicho.