Wakufungwa ni akina Nani walioisababishia Serikali hasara yaan waliokula mabilion kwenye hayo Mashirika ya umma au unazungumzia zile billion 50 zilizopigwa na yule mfanyabiashara feki ?Tutegemee barua za utenguzi "soon" lakini kuna watu watapanda kizimbani,
Mkuu nawapongeza kwa maamuzi hao! Lakini isiwe kama ile tume ya kuchunguza waliotapanya mali za Chama, na hakuna mrejeshao hadi leo.Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo:
1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi
2. Serikali imetakiwa kuchukua hatua thabiti kwa wahusika wote waliothibitika na kutajwa katika ripoti tajwa
3. Serikali kuwafuatilia watu wote wanaotumia dhamana na nafasi za umma vibaya na kwa maslahi binafsi na kushindwa kuweka maslahi mbele.
Tutegemee barua za utenguzi "soon" lakini kuna watu watapanda kizimbani,
Sijaona weledi wa TAKUKURU hapo.Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo:
1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi
2. Serikali imetakiwa kuchukua hatua thabiti kwa wahusika wote waliothibitika na kutajwa katika ripoti za CAG na TAKUKURU
3. Serikali kuwafuatilia watu wote wanaotumia dhamana na nafasi za umma vibaya na kwa maslahi binafsi na kushindwa kuweka maslahi ya nch mbele.
Tutegemee barua za utenguzi "soon" lakini kuna watu watapanda kizimbani,
Mkuu ni kweli wa-TZ wana akili, lakini tambua kuwa CCM na serikali ni kama pete na kidole.Kama ni kweli itakuwa vizuri sana.
Ila kama ni maneno tu, CCM ijihadhari sana.
Watanzania wana akili sana.Wanaelewa kila kitu.
Huijui ccm weweKikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo:
1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi
2. Serikali imetakiwa kuchukua hatua thabiti kwa wahusika wote waliothibitika na kutajwa katika ripoti za CAG na TAKUKURU
3. Serikali kuwafuatilia watu wote wanaotumia dhamana na nafasi za umma vibaya na kwa maslahi binafsi na kushindwa kuweka maslahi ya nch mbele.
Tutegemee barua za utenguzi "soon" lakini kuna watu watapanda kizimbani,
Waliwai fanya kipi kizuri zaidi kwa watanzania? Au unafikiri hii ndio awamu ya kwanza CAG kuleta madudu? Kilichomtoa Assad ofisini kilikuwa ni nini?Uwajibikaji, ufuatiliaji, usimamizi ni misingi ya Chama Cha Mapinduzi. Kidumu Chama Cha Mapinduzi