Kikao Kamati Kuu ya CCM Kimeitaka Serikali Kuwachukulia Hatua Haraka Waliotajwa ripoti ya CAG na TAKUKURU

Kikao Kamati Kuu ya CCM Kimeitaka Serikali Kuwachukulia Hatua Haraka Waliotajwa ripoti ya CAG na TAKUKURU

Wahasibu wanafahamu mkuu. Yaani mwingine inawezekana document wali misplace, au inatokea mwenye document alisafiri. Yaani ukifuatilia ndiyo maana report ya CAG haiwezi tumika mahakamani kabisa kumfunga mtu, sababu kubwa ni hizo na yeye anatoa opinion tu basi. So kuwa mpole. Na kwa serikalini kuna vitu vingi unaweza kuta pia wengine wapo framed kwa sababu hawakutoa rushwa etc.
I know ila how are we going to fix vitu kama hizi... Unataka kuniambia they cant be fixed? Mkuu ambiguity inatoka wapi tuanzie hapo? Ili tujue pakuanzia ili iwe mwanzo mzuri...
 
Mkuu jitahid kunielewesha nielewe...
 
I know ila how are we going to fix vitu kama hizi... Unataka kuniambia they cant be fixed? Mkuu ambiguity inatoka wapi tuanzie hapo? Ili tujue pakuanzia ili iwe mwanzo mzuri...
Iko hivi bosi. Serikali yetu inaongozwa na mifumo, sera, sheria, taratibu etc katika utendaji kazi na hatimaye repoti. Linapokuja suala la ukaguzi kinachoangakia je kama ni sera, sheria, utaratibu, mifumo ya kimaamuzi ilifuatwa. Chukulia tu mfano kwenye taasisi fulani unakuta mtia sahihi ya malipo fulani kikomo chake ni mil 50, ikizidi hapo labda anatakiwa atie sahihi mkuu wa taasisi na huo unaweza kuwa utaratibu upo, ila unakuta alitia sahihi huyo asiyeruhusiwa na CAG akija atasema utaratibu haukufuatwa. Mfano mwingine, unakuta labda serikali imepeleka hela kwa ajili ya ujenzi wa kitu fulani halafu wakabadili matumizi bila kikao cha bodi husika maana yake CAG akija hapo atasema kuna matumizi mabaya ya hela bil 5 etc. Wakati mwingine wakaguzi wanaomba documenti labda zimepotea au wahusika hawakuleta receipt na CAG asipoipata hiyo receipt tayari hiyo ni hela inahesabika haijulikani ilipo. Kwa ujumla serikalini kuna vitu vingi, tusikimbilie kulaumu
 
Dah.....kikao.....tarehe 1 April..... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Je kuna sehemu nyingine duniani tunaweza pata pichapicha kama hizi?
 
Ni CCM ipi?

Ni hii ya tokea enzi za Mwalimu ama kuna CCM nyingine!
 
Hapa tunazugwa tu,baadae mambo yataisha kimya kimya as usual

Kama suala la ndege ya mizigo watu kuongeza digits,mbona hata kwenye rada walifanya hivyo hivyo,hadi wazungu wakatuonea huruma,tukarudishiwa sehemu ya chenji
Kuna aliyefukuzwaga kazi?
Kushtakiwa labda?

CCM ni ile ile,jana leo na siku zote..KULINDANA ndio JADI yao
 
Kudumu chama tawala ,mwenyekiti tumempatia baraka zote akawachukulie hatua Kali iwe fundisho kwa wengine
 
Rais hatakiwi kuwa Mwenyekiti wala Mjumbe wa Chama Cha Siasa maana inasababisha muingiliano wa maslahi
 
Baada ya kifo cha Kanunba CCM ndo walibaki Wasanii wakubwa nchini.
 
Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo:

1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi
2. Serikali imetakiwa kuchukua hatua thabiti kwa wahusika wote waliothibitika na kutajwa katika ripoti za CAG na TAKUKURU
3. Serikali kuwafuatilia watu wote wanaotumia dhamana na nafasi za umma vibaya na kwa maslahi binafsi na kushindwa kuweka maslahi ya nch mbele.

Tutegemee barua za utenguzi "soon" lakini kuna watu watapanda kizimbani,
Kwa hiyo mpaka Kamati kuu iseme?
Wakati mwingine Mh Rais ajiongeze...
 
Kabla ya sisi raia kutangaziwa yaliyo fanyika ilipaswa huko serikalini wajue kila kitu. Na nina amini wanajua.

Ukiona hivyo, kuna mkubwa muidhinishaji ana husika hapo.

Sasa tunaachiwa wananchi Kila mtu aongee lake.

Ingekuwa jamii zilizo zinazojitambua serikali ingewajibishwa hapo. Ni kumtaja mhusika na kuchukua hatua. Namna nyingine hakukuwa na sababu ya kutangaza. Ma-CAG huko nyuma walisha taja mengi ya kustua, Nini kimebadilika?
 
CCM CHINI YA MWENYEKITI DR. SAMIAH NI YA TOFAUTI MNO, SUBIRINI KISHINDO CHAKE, NEVER UNDER ESTIMATE!, YATAFANYIKA YA HAKI AMBAYO HATA JPM HAKUYAWEZA, STAY TUNES....!
:ngoja tumalize mfungo, hata hao waliokimbia nje tutawaona kisutu!
 
Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo:

1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi
2. Serikali imetakiwa kuchukua hatua thabiti kwa wahusika wote waliothibitika na kutajwa katika ripoti za CAG na TAKUKURU
3. Serikali kuwafuatilia watu wote wanaotumia dhamana na nafasi za umma vibaya na kwa maslahi binafsi na kushindwa kuweka maslahi ya nch mbele.

Tutegemee barua za utenguzi "soon" lakini kuna watu watapanda kizimbani,
ccm hii au nyingine , labla ile ya JPM ,iliyowapeleka kina yule boss wa IPTL na mwenzie
 
Ajabu nikwamba wengine waliopo kwenye kikao cha maamuzi walitakiwa wawe wameshawajibika.

Vipi kwani PM amesemaje mpaka sasa
 
Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo:

1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi
2. Serikali imetakiwa kuchukua hatua thabiti kwa wahusika wote waliothibitika na kutajwa katika ripoti za CAG na TAKUKURU
3. Serikali kuwafuatilia watu wote wanaotumia dhamana na nafasi za umma vibaya na kwa maslahi binafsi na kushindwa kuweka maslahi ya nch mbele.

Tutegemee barua za utenguzi "soon" lakini kuna watu watapanda kizimbani,
Hahahaha hamna kitu CCM haipo siku izi kimekuwa kikundi Cha machawa mawazo ya mwenyekiti ndo sisiemu
 
Samia (Raisi / Mkuu wa Nchi na Serikali) kaletewa Taarifa na Vyombo vyake, PCCB na CAG.

Samia (Mwenyekiti wa CCM) Kaitisha Kikao kuishauri Serikali kuwachukulia Hatua wote walitajwa Kwa Ufisadi kwenye Report zilizowakilishwa Kwa Samia ( Raisi / Mkuu wa Nchi na Serikali)
Ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom