Kikao Kamati Kuu ya CCM Kimeitaka Serikali Kuwachukulia Hatua Haraka Waliotajwa ripoti ya CAG na TAKUKURU

Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo:

1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi
2. Serikali imetakiwa kuchukua hatua thabiti kwa wahusika wote waliothibitika na kutajwa katika ripoti za CAG na TAKUKURU
3. Serikali kuwafuatilia watu wote wanaotumia dhamana na nafasi za umma vibaya na kwa maslahi binafsi na kushindwa kuweka maslahi ya nch mbele.

Tutegemee barua za utenguzi "soon" lakini kuna watu watapanda kizimbani,
Mh🙄🙄🙄
 
Uwajibikaji, ufuatiliaji, usimamizi ni misingi ya Chama Cha Mapinduzi. Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Muda mwingine muwe mnaona aibu kukomenti upimbi

Hasara ya miaka 9 ya ATCL
Hasara ya miaka 7 ya NHIF
Hasara ya miaka 7 TTCL
Hasara ya miaka 7 ya Mchechu
Hasara ya miaka 6 ya Makamba
Hasara ya miaka 7 ya Tanesco
Weka Bandari hapo
Hasara ya Manyanga

Msitufanye Watanzania kuwa wajinga..Ukichukua hasara ya mashirika yote ya Umma kwa Miaka 10 inaweza kuwa sawa na nusu ya Deni la Taifa au hata zaidi yake.....

Muwe mnaona aibu enyi Wazalendo Uchwara..
 
Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo:

1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi
2. Serikali imetakiwa kuchukua hatua thabiti kwa wahusika wote waliothibitika na kutajwa katika ripoti za CAG na TAKUKURU
3. Serikali kuwafuatilia watu wote wanaotumia dhamana na nafasi za umma vibaya na kwa maslahi binafsi na kushindwa kuweka maslahi ya nch mbele.

Tutegemee barua za utenguzi "soon" lakini kuna watu watapanda kizimbani,
SERIKALI ya ccm WATENDAJI
wa ccm sijui kama LITAWEZEKANA hilo.
 
Samia (Raisi / Mkuu wa Nchi na Serikali) kaletewa Taarifa na Vyombo vyake, PCCB na CAG.

Samia (Mwenyekiti wa CCM) Kaitisha Kikao kuishauri Serikali kuwachukulia Hatua wote walitajwa Kwa Ufisadi kwenye Report zilizowakilishwa Kwa Samia ( Raisi / Mkuu wa Nchi na Serikali)
 
Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo:

1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi
2. Serikali imetakiwa kuchukua hatua thabiti kwa wahusika wote waliothibitika na kutajwa katika ripoti za CAG na TAKUKURU
3. Serikali kuwafuatilia watu wote wanaotumia dhamana na nafasi za umma vibaya na kwa maslahi binafsi na kushindwa kuweka maslahi ya nch mbele.

Tutegemee barua za utenguzi "soon" lakini kuna watu watapanda kizimbani,
😂😂😂😂😂😂 ukitaka kupata vichekesho kama hivi bonyeza #kisha ne Tanzania! yani Samia ameitaka serikali kuwachukulia hatua wale wote walio tuhumiwa kwa ufisadi hahahaha

Kwa hiyo kamati kuu chini ya Samia inaisubiri serikali kuwachukulia hatua walio husika na ufisadi aiseee😂😂😂😂😂🤪🤪🤪🤪🤪
 
Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo:

1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi
2. Serikali imetakiwa kuchukua hatua thabiti kwa wahusika wote waliothibitika na kutajwa katika ripoti za CAG na TAKUKURU
3. Serikali kuwafuatilia watu wote wanaotumia dhamana na nafasi za umma vibaya na kwa maslahi binafsi na kushindwa kuweka maslahi ya nch mbele.

Tutegemee barua za utenguzi "soon" lakini kuna watu watapanda kizimbani,
Labda ccm ya vietnam
 
Kamati kuu ya chama inayoongozwa na mwenyekiti samia, imeitaka serikali inayoongozwa na samia kuwachukulia hatua hao wezi. Yani maana yake Samia kajipa maagizo yy mwenyewe. Nchi tamu sana hii. Mgeni akija anaweza fikiri hyo kamati ni tofauti na serikali.
 
Jaman, neno moja! Hii nchi inaendeshwa na makumabwuzi... Ccm ndio nan? Yan mbuz wa athuman, bucha ya athuman, hakimu wa athuman,... Is there a thing which is going to be fixed? Kumamamammmaaaayo zao, kwanini hii nchi ina makumanainaa wengi?.. Kitakacho hype ni pongezi kwa mikyundu ya ccm kuwa kazi imefanywa yakuwang'oa wezi ila wakati wanaweka these mofoz walipiga makofi na kusherekea.. Kmmm ccm... Daaah sisi wenye akili nyingi mchezo tunaujua alooo.... Mikyuuundu yenu ccm..
 
Chama Cha Mambuzi Kimeupiga Mwingi
WWanafanya Kaole Sanaa Group
 
Kamati kuu ya chama inayoongozwa na mwenyekiti samia, imeitaka serikali inayoongozwa na samia kuwachukulia hatua hao wezi. Yani maana yake Samia kajipa maagizo yy mwenyewe. Nchi tamu sana hii. Mgeni akija anaweza fikiri hyo kamati ni tofauti na serikali.
Tunaelekea kanani, ccm ni mbwa asie na shukrani
 
Siungi mkono hayo maazimio. Mimi kama mwana CCM na mtaalamu, nilitegemea azimio lilitakiwa liwe kuagiza ukaguzi maalumu (forensic audit), then ndiyo matokeo ya huo uchunguzi utumike kuwashitaki wahusika. Hii ni kwa sababu report ya CAG ni too general, na inawezekana tu mhusika alikosa muda wa kumuonesha CAG au document iko misplaced au tu eti hela ya kujenga shule ilijenga nyumba ya mwalimu au dakitari. So tusiwe washabiki.
 
Back
Top Bottom