Kikao Kamati Kuu ya CCM Kimeitaka Serikali Kuwachukulia Hatua Haraka Waliotajwa ripoti ya CAG na TAKUKURU

Sasa huu ni upuuzi,anayetoa maagizo kwa serikali ndio huyo huyo mkuu wa serikali sasa anajipa maagizo?
Kwanini asitekeleze kwanza harafu aende kwenye chama kutoa taarifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…