Kikao Kizito: Rais Samia akutana na Makamu wake Dkt. Philip Mpango na Gavana wa BoT, Prof. Luoga

Kikao Kizito: Rais Samia akutana na Makamu wake Dkt. Philip Mpango na Gavana wa BoT, Prof. Luoga

Mimi naona kwa Tanzania hamna shida. Kama mwendazake aliweza urais na mambo yakaenda tu iyo nafas ya ugavana hata ukimpa Irene Uwoya ataimudu tu.
mambo kwenda yanaende tu. tatizo yaliendaje na outcome yake ilikuwaje. hapo ndio kuna tofauti
 
Actually, si ajabu kivile.

Kwa mfano Marekani, nchi ambavyo ni pevu kwenye masuala ya sheria, Supreme Court justices, akiwemo Chief Justice, si lazima wawe na shahada ya chuo kikuu, achilia mbali shahada ya sheria....
Mh! 😵😗
 
Prof. Luoga alisomea Kilimo na Tax law leo amekuwa Gavana wa Benki Kuu. Ukisikia mtu kupewa uendeshe Semi-Trailer wakati leseni yako ni ya Bajaji ndio hapo.

Alale mahali pema peponi mzee wa kutumbua na kuteua papo kwa papo!
Ngoja wakuteue wewe
 
Back
Top Bottom