Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kwani kumtoa vp inatakiwa nguvu ya bunge?watoe maelezo kwanini wamechota mzigo BOT wakati mwendazake akiwa mahututi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kumtoa vp inatakiwa nguvu ya bunge?watoe maelezo kwanini wamechota mzigo BOT wakati mwendazake akiwa mahututi!
Upo sahihiMwendaza zake angemaliza mi5 tena angeuwa inchi
Wenye uelewa na kazi hiyoUlitaka apewe nani?
Viatu usivyovaa huwezi jua vinaumizaje mkuu hangeweza kupewa ikiwa hana uwezo na kuimanage tusiongee ongee sana.Prof. Luoga alisomea Kilimo na Tax law leo amekuwa Gavana wa Benki Kuu. Ukisikia mtu kupewa uendeshe Semi-Trailer wakati leseni yako ni ya Bajaji ndio hapo.
Alale mahali pema peponi mzee wa kutumbua na kuteua papo kwa papo!
Kwani rwanda wanafanyaaje?
Dr. Kimei fits for the post of BOT Governor; and had Philly not been in the current position, Kimei would have also fitted as an Economic Adviser to the President.Prof. Luoga alisomea Kilimo na Tax law leo amekuwa Gavana wa Benki Kuu. Ukisikia mtu kupewa uendeshe Semi-Trailer wakati leseni yako ni ya Bajaji ndio hapo.
Alale mahali pema peponi mzee wa kutumbua na kuteua papo kwa papo!
watoe maelezo kwanini wamechota mzigo BOT wakati mwendazake akiwa mahututi!
Mchagga BoT?Dr. Kimei fits for the post of BOT Governor; and had Philly not been in the current position, Kimei would have also fitted as an Economic Adviser to the President.
Amepoteza sifa hiyo kwa alivyomjibu Halima Mdee kuhusu serikali kutozilipa pension funds matrilioni ilizokopa kutoka kwao.Dr. Kimei fits for the post of BOT Governor; and had Philly not been in the current position, Kimei would have also fitted as an Economic Adviser to the President.
Hata MEKONG alikuwa Mchagga !!!!!!Mchagga BoT?
Bob Mazishi ndio mchagga!Hata MEKONG alikuwa Mchagga !!!!!!
Kwani professor Beno Nduru alitusaidia nini wakati wa Jk pamoja na kusomea uchumi?kipindi chake chote ndipo shiling yetu iliporomoka mpaka ikaitwa ela ya madafu,watu walijichotea ela BOT kadiri walivyotaka.Bora Ruoga mara mia maana amezibiti anguko la shiling miaka 5 dorra imepatanda kwa sh250.Ruoga ni shujaa hata kama hampendi.Nadhani alitunukiwa baada ya kuwa mmoja wa wajumbe tume ya makinikia.
Prof. Luoga alisomea Kilimo na Tax law leo amekuwa Gavana wa Benki Kuu. Ukisikia mtu kupewa uendeshe Semi-Trailer wakati leseni yako ni ya Bajaji ndio hapo.
Alale mahali pema peponi mzee wa kutumbua na kuteua papo kwa papo!
Prof luoga alikuwa udsmHivi ni yule alikuwepo SUA?
SOB !!!!Bob Mazishi ndio mchagga!
Wapi picha ya hicho kikao kizito?Rais Samia amekuwa na kikao na makamu wake Dr Mpango na Gavana wa benki kuu Prof Luoga Ikulu Dodoma.
Source Ayo tv
Ramadhan Kareem!
Huyu alikuwa UDSM.Hivi ni yule alikuwepo SUA?
Aliteuliwa na Hayati Marehemu Mwendazake Mwamba Jiwe Shujaa wa Afrika a.k.a Kiongozi wa malaika wa KUZIMU (baba Jeska).Uyo Luoga aliteuliwa na nani kwa ufahamu wako labda!!?
Haguswi huyo tek that to bankPunguza hasira wewe mataga na ikibidi kumbadilisha anaweza kubadilishwa maana kuna operation safisha ghala