Kikao Kizito: Rais Samia akutana na Makamu wake Dkt. Philip Mpango na Gavana wa BoT, Prof. Luoga

Kikao Kizito: Rais Samia akutana na Makamu wake Dkt. Philip Mpango na Gavana wa BoT, Prof. Luoga

Hivi ugavana wa Central bank nao unasomewa? Mpaka uwe pure economist? Haaaa vijana wa siku hizi mnatisha.
Kuwa Gavana sio cheo cha kisiasa kinachohitaji kujua kusoma, kuandika na kusifia.

Tafuta sifa za magavana wote Tanzania kabla ya huyu ndio uje uandike uharo wa bata hapa.

Anzia CV ya Edwin Mtei....., Idris Rashid,..., Prof. Ndulu n.k
 
Duh, sawa.
 
Ukusanyaji wa mapato/KODI ya serikali lazima uwe kwa speed ileile bila kurudi nyuma.
Jambo la msingi sheria na kanuni zizingatiwe lkn asiye tii sheria ya kulipa kodi lazima ashurutishwe, hapo ndio Taifa letu litaendelea kusonga mbele.
Kodi ni kwa mujibu wa sheria. Narudia, KODI NI KWA MUJIBU WA SHERIA. Serikali ifate sheria, wafanyabiashara wafate sheria. Mamlaka itumie akili katika ukusanyaji, kodi ya mwaka husika ikusanywe mwaka husika. Maafisa kodi wafanye examination kwa wakati, excess ya kodi iliyosahaulika itolewe notice kwa wakati. AKILI AKILI AKILI itumike.

TRA Usikurupuke huko na malimbikizo ya milioni 700 na penati na interest kuwa ulipwe au ufunge account ya mfanyabiashara mwenye mtaji wa mil500, watakimbia, Tunahitaji wafanyabiasha wajae nchini ili vijana waajiriwe na uchumi ukue.

KODI ZA KUKUSANYA KWA MABAVU KAMA UNASWAGA NG'OMBE KUNA SIKU TUTAJIKUTA TUPO NA TAASISI ZA UMA TU NCHINI NA WAMACHINGA.
 
Prof. Luoga alisomea Kilimo na Tax law leo amekuwa Gavana wa Benki Kuu. Ukisikia mtu kupewa uendeshe Semi-Trailer wakati leseni yako ni ya Bajaji ndio hapo.

Alale mahali pema peponi mzee wa kutumbua na kuteua papo kwa papo!
Aisee we jamaa ni bonge la muongo. Prof. Luoga alikuwa lecturer wangu hapo UDSM school of Law by then ilikuwa faculty of law, pia ni partner kwenye law firm inaitwa FK chambers ipo upanga ocean road. Huyu ni mwanasheria bana.
 
Kuwa Gavana sio cheo cha kisiasa kinachohitaji kujua kusoma, kuandika na kusifia.

Tafuta sifa za magavana wote Tanzania kabla ya huyu ndio uje uandike uharo wa bata hapa.

Anzia CV ya Edwin Mtei....., Idris Rashid,..., Prof. Ndulu n.k
Ukisoma Sheria ya BOT inataja sifa za mtu anayeweza kuwa gavana, mwanasheria pia ametajwa so ilikuwa uteuzi sahihi kabisa. Besides, Luoga amekuwa mshauri wa masuala ya kodi kwa serikali ya Uganda, Kenya na Tanzania kwa muda mrefu sana na ni mmoja ya wataalamu walioisuka Tax Act na zile financial regulations.
 
Prof. Luoga alisomea Kilimo na Tax law leo amekuwa Gavana wa Benki Kuu. Ukisikia mtu kupewa uendeshe Semi-Trailer wakati leseni yako ni ya Bajaji ndio hapo.

Alale mahali pema peponi mzee wa kutumbua na kuteua papo kwa papo!

Mimi nikidhani jamaa kabobea kwenye maswala Hesabu za Kifedhafedha kama CPA, ACCA, Bcom,Economics, Statistics etc kumbe ni Bwana shamba??....😞
Kilimo na Financial Management wapi na wapi?
Tanzania ndipo tunapo FAIL kwa sana!!!
 
Actually, si ajabu kivile.

Kwa mfano Marekani, nchi ambavyo ni pevu kwenye masuala ya sheria, Supreme Court justices, akiwemo Chief Justice, si lazima wawe na shahada ya chuo kikuu, achilia mbali shahada ya sheria....
Nitajie cheif justice wa usa ambaye hana LLB?
 
Ingawa unachosema ni kweli kuwa sio lazima awe ana shahada ya sheria lakini kuna caveats. K.m. anatakiwa apitishwe na Senate kabla ya kuwa confirmed. Huko jina lake linapita kwanza kwenye Senate Judiciary Committee ambayo imejaa wanasheria. Likitoka hapa anahojiwa na Senate nzima kuhusu uwezo wake na ufahamu wake wa mambo ya sheria. Vigingi hivi ni vigumu sana kwa mtu asie na shahada ya sheria na ambae hajawahi ku practise sheria kwa njia moja au nyingine. Sio bure kuwa Justices wengi wali Clerk kwa majustices kabla ya kuteuliwa.

Kwetu sisi Rais anaweza kumteua mtu yeyote anayempenda katika nafasi yetote ya uongozi bila kizuizi chechote. Ingekuwa Marekani Gavana wetu asingeona ndani maana Senators wangemhoji vilivyo.

Amandla...
Marekani ishawahi kuwa na Supreme Court justices ambao hawakuwa kabisa na shahada ya sheria. Hii ni kweli. Si uzushi wala usadiki.

Kuna mmoja hata high school hakuwahi kumaliza.

Huko kwenye judiciary committee na kwenye senate, hawawezi kumkataa mtu kisa hana shahada ya sheria maana katiba haijakataza hilo.

Na kama katiba haijakataza basi uwezekano wa kuwepo tena Supreme Court justice asiye na shahada ya sheria, upo.

Ni kama vile ambavyo katiba haijakataza watu wa rangi za ngozi zisizo za Kizungu kuwa marais, hata kama hakujawahi kuwepo na Rais Mlatino, hiyo haina maana haitotokea siku moja Mlatino akawa Rais.
 
Nitajie cheif justice wa usa ambaye hana LLB?
Unachoniuliza sicho nilichokisema.

Nimesema kuwa shahada ya sheria si moja ya matakwa ya kikatiba kwa mtu kuwa jaji mkuu wa mahakama kuu ya Marekani au kuwa jaji wa mahakama kuu.

Hicho ndicho nilichokisema.
 
Ingawa unachosema ni kweli kuwa sio lazima awe ana shahada ya sheria lakini kuna caveats. K.m. anatakiwa apitishwe na Senate kabla ya kuwa confirmed. Huko jina lake linapita kwanza kwenye Senate Judiciary Committee ambayo imejaa wanasheria. Likitoka hapa anahojiwa na Senate nzima kuhusu uwezo wake na ufahamu wake wa mambo ya sheria. Vigingi hivi ni vigumu sana kwa mtu asie na shahada ya sheria na ambae hajawahi ku practise sheria kwa njia moja au nyingine. Sio bure kuwa Justices wengi wali Clerk kwa majustices kabla ya kuteuliwa.

Kwetu sisi Rais anaweza kumteua mtu yeyote anayempenda katika nafasi yetote ya uongozi bila kizuizi chechote. Ingekuwa Marekani Gavana wetu asingeona ndani maana Senators wangemhoji vilivyo.

Amandla...
Wacha urongo ww kwenye post zote kubwa ie Gavana Chief Justice Majaji sheria imetoa vigezo/sifa.....raisi hajichaguli tu....
 
Back
Top Bottom