Kikao Kizito: Rais Samia akutana na Makamu wake Dkt. Philip Mpango na Gavana wa BoT, Prof. Luoga

Kikao Kizito: Rais Samia akutana na Makamu wake Dkt. Philip Mpango na Gavana wa BoT, Prof. Luoga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Prof .Florens Luoga ,Ikulu jijini Dodoma leo.

View attachment 1753844
View attachment 1753845

Ramadhan Kareem!
Bashiru Ally akiona hii picha presha inapanda presha inashuka
 
Kama ni huyo,ni wa ajabu

Yule wa SUA alikuwa anaitwa ANSELM LUOGA!! sio huyu.
Actually, si ajabu kivile.

Kwa mfano Marekani, nchi ambavyo ni pevu kwenye masuala ya sheria, Supreme Court justices, akiwemo Chief Justice, si lazima wawe na shahada ya chuo kikuu, achilia mbali shahada ya sheria....

Supreme Court Justice gani kwenye current bench ambaye hana shahada ya sheria?
 
Gavana anatakiwa asome Nini?
Gavana wa BOT anatakiwa kujua mbinu na mikakati ya kuthibiti mfumuko wa bei katika nchi. Anatakiwa kujua jinsi ya kutekeleza sera za fedha ambazo zitapelekea uchumi wa nchi kukua. In other words he must be competent in monetary policy management and how their harmonization with fiscal policies can lead to macroeconomic stability and hence economic growth of an economy. Sasa were mwenyewe amua mtu wa namna hiyo anatakiwa asomee nini?
 
Prof. Luoga alisomea Kilimo na Tax law leo amekuwa Gavana wa Benki Kuu. Ukisikia mtu kupewa uendeshe Semi-Trailer wakati leseni yako ni ya Bajaji ndio hapo.

Alale mahali pema peponi mzee wa kutumbua na kuteua papo kwa papo!
Hivi huyu Luoga ndio yule aliyekuwa Sokoine University miaka ile
 
Maandalizi za kuficha ripoti ya uchunguzi wa CAG na TAKUKURU pale BoT. Maana taarifa za ndani zinaonyesha Makamu wa Rais na Gavana wapo kwenye hiyo scandal.
Ingekua busara sana ukazitoa hapa hizo taarifa za ndani
Watu wanahaha kupata T2 kwa mwezi huku wakidhibiti matumizi,wewe unaleta ramli
 
Ukisoma Sheria ya BOT inataja sifa za mtu anayeweza kuwa gavana, mwanasheria pia ametajwa so ilikuwa uteuzi sahihi kabisa. Besides, Luoga amekuwa mshauri wa masuala ya kodi kwa serikali ya Uganda, Kenya na Tanzania kwa muda mrefu sana na ni mmoja ya wataalamu walioisuka Tax Act na zile financial regulations.

Lakini report ya makinikia ambayo nadir limps kuwa GAVANA ,mpaka sasa matokeo yake ya mkataba na BARRICK yamefichwa; kwahiyo hatujui kama tumepigwa tena au vipi kwani NOAH aklizotuahidi mwendazake na mgogo wake Kabudi hatujaziona!!!
 
Hivi Mama hatumii kompyuta? Maana sioni kompyuta mezani. Na kuna kiti cha plastiki kwenye picha waliposimama nje ya milango. Ni Ikulu kuna viti vya plastic?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Prof .Florens Luoga ,Ikulu jijini Dodoma leo.

View attachment 1753844
View attachment 1753845

Ramadhan Kareem!
Bwashee hapo ni ikulu?,au wamekutana kwenye ofisi za halimashauri ya mji.
 
Prof. Luoga alisomea Kilimo na Tax law leo amekuwa Gavana wa Benki Kuu. Ukisikia mtu kupewa uendeshe Semi-Trailer wakati leseni yako ni ya Bajaji ndio hapo.

Alale mahali pema peponi mzee wa kutumbua na kuteua papo kwa papo!
Ndugaye alisomea wanyama pori,ila sa hizi anasimamia mhimili mkuu Wa kutunga sheria.
 
"Mitano Tena" walisikika viziwi wasioona wakishangilia baada ya kushiba michembe na maparage.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Prof .Florens Luoga ,Ikulu jijini Dodoma leo.

View attachment 1753844
View attachment 1753845

Ramadhan Kareem!
DU IKULU VITI VYA PLASTIC??😃😃😃 HII NI AIBU KUBWA SANA
 
Hapo hapo mbowe amepata chanjo ya corona na anafanya social distance kwa joyce mkuya.

Chadema wana kipaji cha ujinga
Hapo ndipo mnapo kwama sasa habari za mbowe na joyce nkya ambazo ni mambo binafsi yanahusikaje na maswala yaliyopo hapa? Hebu muache ujinga basi
 
Back
Top Bottom