Kikao Kizito: Rais Samia akutana na Makamu wake Dkt. Philip Mpango na Gavana wa BoT, Prof. Luoga

Kikao Kizito: Rais Samia akutana na Makamu wake Dkt. Philip Mpango na Gavana wa BoT, Prof. Luoga

Hakuna jambo lolote lililokuwa likienda. Madudu all over the place.
Mimi naona kwa Tanzania hamna shida. Kama mwendazake aliweza urais na mambo yakaenda tu iyo nafas ya ugavana hata ukimpa Irene Uwoya ataimudu tu.
 
Prof. Luoga alisomea Kilimo na Tax law leo amekuwa Gavana wa Benki Kuu. Ukisikia mtu kupewa uendeshe Semi-Trailer wakati leseni yako ni ya Bajaji ndio hapo.

Alale mahali pema peponi mzee wa kutumbua na kuteua papo kwa papo!
Gavana anatakiwa asome Nini?
 
Ukusanyaji wa mapato/KODI ya serikali lazima uwe kwa speed ileile bila kurudi nyuma.
Jambo la msingi sheria na kanuni zizingatiwe lkn asiye tii sheria ya kulipa kodi lazima ashurutishwe, hapo ndio Taifa letu litaendelea kusonga mbele.
 
Ku
mambo kwenda yanaende tu. tatizo yaliendaje na outcome yake ilikuwaje. hapo ndio kuna tofauti
Kuna jamaa alikuwa Rais wa Nchi moja ya kiafrika, yeye zake ni kupaa tu mara leo yuko caribean kule anabembea, kesho yuko kanada anaendeshwa na yale magari ya kuvutwa na farasi, kesho kutwa yuko USA anashangaa airport zilivyo kubwa na nzuri kama mbinguni Na nchi yake ilikuwa inajiendea tu kwa gravity.
 
Hapo hapo mbowe amepata chanjo ya corona na anafanya social distance kwa joyce mkuya.

Chadema wana kipaji cha ujinga
ww ndio mpumbavu, hv hujui mbowe anapofanya social distance ni kwaajili ya kuwazuia wengine ambao hawajapata chanjo wasiambukizwe ikitokea yeye amebeba virus
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Ni kwanini gavana bilaa waziri wa fedha na mipango?maana makamu wa raisi ndo alikuwa waziri wa fedha na mipango so anajua Mambo ya gavana hapo B.O.T kwanini kikao bila waziri Kuna Nini?
 
Ni kwanini gavana bilaa waziri wa fedha na mipango?maana makamu wa raisi ndo alikuwa waziri wa fedha na mipango so anajua Mambo ya gavana hapo B.O.T kwanini kikao bila waziri Kuna Nini?
Mwigullu Nchemba anafanya kazi chini ya Dr Mpango!
 
Actually, si ajabu kivile.

Kwa mfano Marekani, nchi ambavyo ni pevu kwenye masuala ya sheria, Supreme Court justices, akiwemo Chief Justice, si lazima wawe na shahada ya chuo kikuu, achilia mbali shahada ya sheria....
Ingawa unachosema ni kweli kuwa sio lazima awe ana shahada ya sheria lakini kuna caveats. K.m. anatakiwa apitishwe na Senate kabla ya kuwa confirmed. Huko jina lake linapita kwanza kwenye Senate Judiciary Committee ambayo imejaa wanasheria. Likitoka hapa anahojiwa na Senate nzima kuhusu uwezo wake na ufahamu wake wa mambo ya sheria. Vigingi hivi ni vigumu sana kwa mtu asie na shahada ya sheria na ambae hajawahi ku practise sheria kwa njia moja au nyingine. Sio bure kuwa Justices wengi wali Clerk kwa majustices kabla ya kuteuliwa.

Kwetu sisi Rais anaweza kumteua mtu yeyote anayempenda katika nafasi yetote ya uongozi bila kizuizi chechote. Ingekuwa Marekani Gavana wetu asingeona ndani maana Senators wangemhoji vilivyo.

Amandla...
 
Back
Top Bottom