Kikao Maalum cha Pili cha Kamati ya Kanda ya WHO kwa Afrika. Prof Janabi anamwaga sera

Janabi mweupe mno,hana kabisa uzoefu kwenye community health. Anaulizwa maswali anajibu atakaa na staffs wake Brazzaville then wataona inakuwaje .Yeye kama yeye hana solutions. Bora huyu wa Togo anaonekana yupo vizuri kwenye community health.
Kuna Walaka umemchambua vyema, na hapa amethibitisha tu kwamba Mwandishi yule alikuwa sahihi.
 
Wauzaji wa Bar leo mkisikia Proj Janabi ametoswa huko WHO msifunge Bar hakikisheni Bar zipo wazi!.

Huu ndo ushauri Kama mnakumbuka jamaa yule alipotoweka mlivyo piga hela mkesha wa 17-2021
Mbona hajalazimisha tufuate ushauri wake?

Au una chuki nyingine dhidi yake ?
 
Hiyo ndo athari ya kujibu maswali kisiasa kama ulivyo ubabaishaji Tanzania
 
Wauzaji wa Bar leo mkisikia Proj Janabi ametoswa huko WHO msifunge Bar hakikisheni Bar zipo wazi!.

Huu ndo ushauri Kama mnakumbuka jamaa yule alipotoweka mlivyo piga hela mkesha wa 17-2021
Watanzania wengi tuna matatizo ya akili, ni suala la muda tuu kama ww muda wako ushafika.
 
All the best to this Man Janabi,

Very special prayer for you!!!
 
Wauzaji wa Bar leo mkisikia Proj Janabi ametoswa huko WHO msifunge Bar hakikisheni Bar zipo wazi!.

Huu ndo ushauri Kama mnakumbuka jamaa yule alipotoweka mlivyo piga hela mkesha wa 17-2021
Sawa. Ulifurahi hiyo 17-2021? Na wewe utatoweka tu. Ni suala la muda na funza watapiga hela
 
Yaani mweupe mno kwenye kujibu maswali.Muangalie huyu wa Togo anavyojibu kwa details.
 
Hata huyu Babu wa Guinea yupo vizuri kuliko Janabi.Janabi alikuwa anaongelea kupasua moyo Jakaya heart institute na transplant ya kidney Nairobi.Very very poor in community health
 
Janabi mweupe mno,hana kabisa uzoefu kwenye community health. Anaulizwa maswali anajibu atakaa na staffs wake Brazzaville then wataona inakuwaje .Yeye kama yeye hana solutions. Bora huyu wa Togo anaonekana yupo vizuri kwenye community health.
Matokeo saa gapi?
 
CCM Ina kimavi, kila inachokipigia debe huwa kinafeli. Imejipendekeza kwenye finali ya Simba na Berkane matokeo yake Simba kala 2 kavu. Huyu Janabi naye hatoboi
 
Tatizo huyu jamaa anadhani hichi ni cheo cha kisiasa kama ubunge. Mimi nilishangaa kumuona anazunguka na kikwete mpaka Burkina Faso. Aanadhani picha na kiki ndio zitamsaidia kushinda πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Matokeo yakitoka mtag huko, Israel wa jamuhuri atakapoangukia pua niende Rotana kula shawama na Champagne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…